Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upungufu wataalamu wa Hisabati kwadumaza uchumi

TANZANIA inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa wataalamu wa Hisabati katika masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa, uchumi na mambo ya fizikia, sababu inayochangia kuporomoka na kudumaa kwa uchumi wa Taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

 Wataalamu wa ujenzi wamuunga mkono Rais Magufuli katika maendeleo ya uchumi

Rais wa chama cha wakadiriaji majenzi Tanzania amesema Udhibiti wa gharama za ujenzi katika miradi mbalimbali ya Serikali ni jambo la msingi katika kukua kwa maendeleo ya kiuchumi kwa nchi yeyote duniani.

Hayo yameelezwa na Rais wa chama cha wakadiriaji majenzi Tanzania TIQS Samuel Marwa wakati wa mkutano mkuu wa mwaka uliofanyika jijini Dar es salaam.

Rais wa chama cha wakadiriaji majenzi, Samuel Marwa amesema Tanzania   bado inakabiliwa na uchache wa wataalamu hao kwani vyuo vinavyotoa...

 

5 years ago

Michuzi

Wataalamu wa Sekta ya Rasilimali Watu na Wadau wa Sekta ya Uchumi Kukutana Mtandaoni

Wakati janga la Corona limeathiri njia za ufanyaji kazi duniani kote, kampuni nyingi duniani zimelazimika kutafuta namna mpya ya ufanyaji kazi. Nchini Tanzania, kampuni ya BrighterMonday Tanzania imeandaa semina ya mtandaoni itakayowakutanisha wataalamu katika sekta ya Rasilimali Watu pamoja na wadau katika sekta ya biashara kujadili mchango wa Rasilimali Watu katika kuhakikisha Uendelevu wa Biashara wakati wa mlipuko wa virusi Corona.  
Semina hiyo itafanyika Jumanne, Mei 12, 2020 kwa njia...

 

11 years ago

Habarileo

Vinara hisabati kusomeshwa China

SERIKALI ya China itadhamini wanafunzi bora 10 wa kidato cha sita watakaofanya vizuri katika somo la hisabati kwa kuwa inaamini maendeleo yatategemea ukuaji wa sayansi na teknolojia miongoni mwa vijana.

 

11 years ago

Habarileo

Taasisi ya kufundisha hisabati yaja

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sylivia TemuSERIKALI inatarajia kusaini makubaliano ya awali (MOU) na Taasisi ya Masuala ya Sayansi ya Hesabu Afrika (AIMS), yatakayoiwezesha taasisi hiyo kuanzisha kampasi yake hapa nchini itakayofundisha na kuendeleza masomo ya Hisabati na Sayansi.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la 7

Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13).
Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13), ameeleza siri ya mafanikio yake kuwa ni kujituma katika masomo na kuwaheshimu walimu.

Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana kutoka mkoani Singida, Rachel ambaye alikuwa anasoma shule ya msingi Kimara 'B', jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu 100 kujadili maendeleo ya Hisabati

Walimu takriban 100 wa somo la hesabu kutoka nchi za Afrika Mashariki wanatarajia kukutana katika mkutano wa kimataifa utakaoangazia namna ya kuendeleza somo hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vibonzo vyarahisisha hisabati kwa watoto

Vibonzo vya elimu burudani, inawafundisha watoto hisabati

 

11 years ago

Mwananchi

Walimu wa hisabati, sayansi wapigwa ‘tafu’

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mkopo wa masharti nafuu wa Sh92 bilioni kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia mradi kwa sekta ya elimu hasa kuwajengea uwezo walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WAADHIMISHA SOMO LA HISABATI NCHINI

Wanafunzi wakiwa na Bango wakiingia viwanjani hapo. Wanafunzi wa shule mbalimbali wakiingia kwa mbwembwe .…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani