Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya kufundisha hisabati yaja

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sylivia TemuSERIKALI inatarajia kusaini makubaliano ya awali (MOU) na Taasisi ya Masuala ya Sayansi ya Hesabu Afrika (AIMS), yatakayoiwezesha taasisi hiyo kuanzisha kampasi yake hapa nchini itakayofundisha na kuendeleza masomo ya Hisabati na Sayansi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la 7

Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13).
Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13), ameeleza siri ya mafanikio yake kuwa ni kujituma katika masomo na kuwaheshimu walimu.

Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana kutoka mkoani Singida, Rachel ambaye alikuwa anasoma shule ya msingi Kimara 'B', jijini...

 

10 years ago

Habarileo

Vinara hisabati kusomeshwa China

SERIKALI ya China itadhamini wanafunzi bora 10 wa kidato cha sita watakaofanya vizuri katika somo la hisabati kwa kuwa inaamini maendeleo yatategemea ukuaji wa sayansi na teknolojia miongoni mwa vijana.

 

10 years ago

Habarileo

Upungufu wataalamu wa Hisabati kwadumaza uchumi

TANZANIA inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa wataalamu wa Hisabati katika masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa, uchumi na mambo ya fizikia, sababu inayochangia kuporomoka na kudumaa kwa uchumi wa Taifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vibonzo vyarahisisha hisabati kwa watoto

Vibonzo vya elimu burudani, inawafundisha watoto hisabati

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WAADHIMISHA SOMO LA HISABATI NCHINI

Wanafunzi wakiwa na Bango wakiingia viwanjani hapo. Wanafunzi wa shule mbalimbali wakiingia kwa mbwembwe .…

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wa hisabati, sayansi wapigwa ‘tafu’

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mkopo wa masharti nafuu wa Sh92 bilioni kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia mradi kwa sekta ya elimu hasa kuwajengea uwezo walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu 100 kujadili maendeleo ya Hisabati

Walimu takriban 100 wa somo la hesabu kutoka nchi za Afrika Mashariki wanatarajia kukutana katika mkutano wa kimataifa utakaoangazia namna ya kuendeleza somo hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Vitabu vya Sayansi, Hisabati vyasambazwa mashuleni

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Elimu), Kassim Majaliwa SERIKALI imeanza kusambaza vitabu milioni 2.5 vya Hisabati, Fizikia, Biolojia na Kemia vyenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 25 kwa ajili ya shule zote za sekondari za serikali nchini, lengo likiwa ni kuimarisha ubora wa utoaji wa elimu ya Sayansi na Hisabati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani