Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliofadhiliwa na JICA kuagwa kesho

WANAFUNZI 30 kutoka serikalini na katika sekta binafsi waliopata ufadhili wa masomo na Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) wataagwa rasmi kesho katika ubalozi wa nchi hiyo jijini Da r...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Vijana Madola kuagwa kesho

TIMU ya taifa ya Tanzania itakayoshiriki Michezo ya tano ya Jumuiya ya Madola kwa vijana itaagwa kesho Jumatatu na kuondoka siku hiyo hiyo, imeelezwa.

 

9 years ago

Habarileo

Mwili wa Mtikila kuagwa kesho Dar

MWILI wa mwanasiasa machachari na mwenye misimamo mikali katika ufuatiliaji wa mambo, Mchungaji Christopher Mtikila (65) unatarajiwa kuagwa kesho, Dar es Salaam. Aidha, baada ya shughuli ya kuuaga mwili wa Mtikila, aliyekuwa pia Mwenyekiti wa chama cha siasa cha DP, utasafirishwa kwenda kijijini kwao Milo wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe kwa ajili ya maziko.

 

5 years ago

Michuzi

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI KUAGWA KITAIFA KESHO




Mwili wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Augustino Ramadhani unatarajiwa kuagwa rasmi kitaifa kesho Ijumaa Mei Mosi, mwaka huu katika viwanja vya Karimjee, na mazishi yatafanyika Mei 2 Kimara jijini Dar es salaam.

Kiongozi huyo ataagwa Kitaifa kwa mujibu wa Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa ya mwaka 2006.Taarifa iliyotolewa leo na Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Kelvin Mhina ilieleza kwamba taratibu zote za mazishi na maandalizi zinafanywa na kusimamiwa na...

 

9 years ago

Michuzi

HATIMA YA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUAGWA JIJINI MWANZA KUAMULIWA KESHO NA MAHAKAMA


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akitoa taarifa kwa wananchi baada ya Chadema Kufungua Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kupinga kuzuiliwa kwa mwili wa Marehemu Mawazo kuagwa Jijini Mwanza.
Na George Binagi - GB Pazzo wa Binagi Media Group
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema leo kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, ili kuiomba Mahakama hiyo kutengua zuio la kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo, lililotolewa na...

 

10 years ago

CloudsFM

marehemu Kapt.John Komba kuagwa leo katika viwanja vya karimjee ,Dar kuzikwa kwao kesho Nyasa

http://www.google.co.tz/imgres?imgurl=http://4.bp.blogspot.com/-TXxYlldF76U/UYzCQwXjabI/AAAAAAAAACo/I99o7Tt2ccU/s1600/KOMBA.jpg&imgrefurl=http://kwelinahaki.blogspot.com/2013_05_01_archive.html&h=1200&w=1600&tbnid=66ArF3GxkVAhVM:&zoom=1&docid=07QytNiYiUSx3M&itg=1&hl=en-US&ei=iRz0VKTqNYrlaLSNggg&tbm=isch&ved=0CCAQMygFMAU Mwili Wa Kapr.John Komba utaagwa katika viwanja vya Karimjee jijini Dar Leo tar.2 March baada ya hapo utasafirishwa hadi mjini Songea ambapo wanachi wa mji watapata fursa ya...

 

9 years ago

Vijimambo

MAZISHI YA DK.EMMANUEL MAKAIDI KUFANYIKA MAKABURI YA SINZA, MWILI WAKE KUAGWA KESHO ASUBUHI VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

Mjane wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Emmanuel Makaidi, Modesta Ponela Makaidi akiwa katika huzuni baada ya kuondokewa na mpendwa wake.
Mtoto wa kwanza wa Dk. Makaidi, Hilda Emmanuel Makaidi akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)
Mtoto wa marehemu Mhandisi Emmanueli Makaidi (kulia), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ratiba ya mazishi ya baba yake.Ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wakiwa msibani nyumbani kwa Dk.Makaidi Sinza.Mjane wa...

 

10 years ago

Bongo5

YP kuagwa TCC Chang’ombe na kuzikwa kesho (Oct 22) katika makaburi ya Chang’ombe

Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili. Akizungumza ba BONGO 5 jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family amesema mpaka sasa […]

 

11 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA SHAYIRI MONDULI JUU WALIOFADHILIWA NA TBL WAPATA MAVUNO MENGI

 Mkulima (wa pili kulia) wa Shayiri katika mashamba ya Monduli Juu, wilayani Monduli mkoani Arusha akiendelea na uvunaji wa Shayiri kwa kutumia mashine ya kisasa ambapo wameweza kuvuna hadi gunia 1o kwa hekari moja. Wakulima wa Monduli Juu wameanza kuvuna mazao yao, baada ya kuwezeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) iliyowapatia mafunzo, mikopo ya mbolea na dawa. Pia shayiri hiyo hununuliwa na TBL kwa ajili ya kutengenezea kimea katika kiwanda kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro.

 

11 years ago

Michuzi

VIJANA WALIOFADHILIWA MASOMO YA UFUNDI VETA NA HELP FOR UNDERSERVED COMMUNITIES INC. (HUC) WAHITIMU

 NI FURAHA TELE. Mwalimu wa kozi fupi wa Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma (VETA) – Dar es Salaam, Bi. Bertha Ogwal, kushoto, akimkabidhi Bi. Jamila Mwenda, ripoti ya mahudhurio ya kozi ya awali ya usekretari/kompyuta, hivi karibuni. Jamila ni miongoni mwa vijana 11 toka mikoa mbalimbali nchini waliofadhiliwa masomo na shirika lisilo la kiserikali la Help for Underserved Communities Inc. (HUC), lenye makao yake Marekani, ambalo linayosaidia upatikanaji wa maji safi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani