Waliofanya mauaji ya Polisi wasakwa.
Na Glory Matola na Epiphania Magingo,
Dar es Salaam.
Machi 31, 2015
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Polisi mkoani Pwani limeanza oparesheni kali ya kuwasaka watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliowavamia na kuwaua askari wawili na kumjeruhi mmoja na kisha kupora bunduki aina ya SMG katika eneo la kizuizi cha Polisi mkoani Pwani.
Tukio hilo limetokea Machi 30 mwaka huu majira ya saa mbili usiku katika barabara ya Kilwa Kata ya Vikindu wilayani...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Waliofanya shambulio la Mandera wasakwa
10 years ago
BBCSwahili15 Feb
Waliowajeruhi polisi TZ wasakwa
10 years ago
Habarileo27 Jan
Walioua polisi wasakwa usiku na mchana
JESHI la polisi mkoani Pwani linaendelea na msako mkali kutafuta watu walioua askari wawili wa jeshi hilo na kuiba silaha katika kituo cha polisi Ikwiriri wilayani Rufiji.
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Madiwani Iramba wataka Jeshi la Polisi kuwasaka waliofanya jaribio la kumuua DED kwa bomu
Katibu wa madiwani wa CCM wilaya ya Iramba na diwani wa kata ya Urughu, Simon Tyosela, akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamko lao la kulaani vikali jaribio la kutaka kumuawa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Iramba, Halima Mpita Januari 2 mwaka huu saa 1.15 asubui akiwa nyumbani kwake.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iramba mkoa wa Singida,wamelaani vikali jaribio la kutaka kumuawa kwa bomu mkurugenzi...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Polisi wakana mauaji migodini TZ
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Polisi wadai wanachunguza mauaji
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Polisi yachunguza mauaji Dar