Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wadai wanachunguza mauaji

Polisi Mkoa wa Morogoro imedaiwa inafanya uchunguzi kuona kama kulikuwa na sababu ya kutumia nguvu kubwa hata kusababisha vifo vya watu watatu, ambao ni wakulima wanaodaiwa kuuawa na askari Kijiji cha Igawa Malinyi, wilayani Ulanga, mkoani Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wadai kuhangaishwa na polisi Eastleigh

Wakazi wengi ambao ni wasomali wanasema kuwa polisi wanawachapa na kuwakamata kiholela huku operesheni hiyo ya usalama ikiendelea kwa siku ya tatu.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili

Viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) wameilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa polisi “walitumia ushenzi na ukatili” wakati wa kuwahoji.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa tuhuma za kumuua ERASTO MWALWEGO [29] Dereva Pikipiki @ Bodaboda na Mkazi wa Nzovwe.
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...

 

10 years ago

GPL

AL SHABAAB WADAI KUWAUA POLISI ZAIDI YA 20 NCHINI KENYA

Kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Wanamgambo wa Al Sbaab wamekuwa wakitishia hali ya usalama nchini Kenya daaba ya kudai kuwaua askari zaidi ya 20 na kujeruhi mmoja baada ya kuwepo kwa mapigano makali kati ya Polisi na Wanamgambo wa Al Shabaab, Kaskazini Mashariki mwa Kenya. Wizara ya Usalama wa Taifa nchini Kenya imethibitisha kuwa askari mmoja amejeruhiwa wakati wa shambulizi la Wanamgambo wa kundi la Al Shabaab katika kijiji...

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI SASA TISHIO

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa HALI ni tete! Matukio ya mauaji ya askari polisi sasa ni tishio. Hilo limebainika kufuatia Mkuu wa Kikosi cha Kupambana na Majambazi Mkoa wa Morogoro, ASP Elibariki Israel Palangyo (53) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wenye harufu ya ugaidi, Uwazi limechimba.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1hv1WxB ...

 

11 years ago

Mwananchi

Polisi wakana kuhusika na mauaji

Utata umegubika mazingira ya kifo cha Emmanuel Mtongori (20), Mkazi wa Kijiji cha Rung’abure wilayani Serengeti.

 

10 years ago

Vijimambo

Mtuhumiwa kinara mauaji ya polisi


Kinara, Selemani Shabani Ulatule.
Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga,GPL
WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule.
ENEO LA TUKIO
Mwishoni mwa wiki iliyopita, wanahabari wetu walifika katika Kijiji cha Mandikongo, Mkuranga, Pwani na wakazi wa maeneo ya...

 

10 years ago

GPL

MTUHUMIWA KINARA WA MAUAJI YA POLISI

Makongoro Oging’ na Issa Mnaly, Mkuranga WAKATI jeshi la polisi nchini likiendelea kuwasaka watuhumiwa wa mauaji ya polisi na kupora silaha katika Kituo cha Stakishari, Ilala jijini Dar, Uwazi limefanikiwa kuipata picha ambayo inadaiwa ni ya mtuhumiwa kinara wa tukio hilo aliyetajwa kwa jina la Seleman Shaban Ulatule. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1GWYmRq ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani