Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili
Viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) wameilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa polisi “walitumia ushenzi na ukatili†wakati wa kuwahoji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Aug
Viongozi Uamsho wadaiwa kuingiza magaidi
VIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, wanakabiliwa na mashitaka ya kuingiza wageni nchini, ili washiriki katika vitendo vya kigaidi.
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Viongozi wa Uamsho waachiwa huru Z’bar
10 years ago
Mwananchi16 Oct
Viongozi wa uamsho walalamikia afya zao
11 years ago
Mwananchi20 Dec
Polisi wadai wanachunguza mauaji
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Wadai kuhangaishwa na polisi Eastleigh
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-r_riptLLwjc/Vdrah012jeI/AAAAAAACACQ/w0ml9ROwfts/s72-c/HH.jpg)
TATIZO LA MAJI KILOLO NA ISMANI LAISUMBUA SERIKALI WADAI KUTOKUTHAMINIWA NA VIONGOZI
![](http://2.bp.blogspot.com/-r_riptLLwjc/Vdrah012jeI/AAAAAAACACQ/w0ml9ROwfts/s400/HH.jpg)
Wakizungumza kwa huzuni mbele ya mkuu wa mkoa wa Iringa aliyefanya ziara ya kugagua miradi ya maji Katika wilaya hizo Mh Amina Masenza wananchi hao walisema kumekuwa na ubabaishaji wa kisiasa juu ya namna ya kupelekewa maji jambo ambalo linawafanya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnnul87d0RU2DaXV7g4zOVCAhYNc*F020BPTYZH9OE2rGZx9-v0wqt30bNgyGku4FFXNn2YJAxiXh6O-KeylmxSk/122.jpg)
AL SHABAAB WADAI KUWAUA POLISI ZAIDI YA 20 NCHINI KENYA
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Viongozi wa UKAWA Lyamgungwe wadai kuvutiwa na utendaji wa Mbunge Mgimwa Kalenga wajiunga CCM
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa kulia akipokea kadi ya Chadema kutoka kwa mmoja kati ya viongozi wa Chadema kata ya Lyamgungwe aliyehamia CCM.
Na MatukiodaimaBlog
VIONGOZI watatu wa vyama vinavyounda katiba ya wananchi (UKAWA) kata ya Lyamgungwe jimbo la kalenga wamempongeza mbunge wa jimbo la hilo Godfrey Mgimwa kwa kutekeleza ahadi mbali mbali zilizoachwa na marehemu mbunge aliyepita Dr Wiliam Mgimwa kwa muda mfupi na kuwa katika kuonyesha umoja wao...
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Viongozi wawe vinara wa kupinga ukatili