Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi Uamsho wadaiwa kuingiza magaidi

VIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, wanakabiliwa na mashitaka ya kuingiza wageni nchini, ili washiriki katika vitendo vya kigaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa Uamsho waachiwa huru Z’bar

Viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), wameachiwa kwa dhamana baada ya Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar, Fatma Hamid Mahmoud kupunguza masharti ya dhamana kutoka fedha taslimu Sh25 milioni kila mshtakiwa hadi kuwa dhamana ya maandishi kwa kiwango hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa uamsho walalamikia afya zao

Viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumika), akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake wameendelea kulalamika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa hali zao kiafya ni mbaya na hakuna matibabu wanayopata.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili

Viongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) wameilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa polisi “walitumia ushenzi na ukatili” wakati wa kuwahoji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Goshashy kuingiza sokoni ‘Pepeto’

MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili, Ruben Goshashy, anatarajiwa kuingiza sokoni albamu mpya ya nyimbo za injili itakayokwenda kwa jina la ‘Pepeto’ ambayo inazungumzia jinsi maisha yanavyobadilika kutoka kwenye anasa hadi...

 

11 years ago

Mwananchi

RC ashangaa mkaa kuingiza mapato

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa ameishangaa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kuweka ushuru wa mkaa kama eneo la ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutaka biashara hiyo ikome kwa sababu madhara yake ni makubwa katika uharibifu wa mazingira.

 

11 years ago

Mwananchi

Waruhusiwa kuingiza bidhaa sokoni

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Mezzan Oil, Cuthbert Sawe ameshukuru Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuruhusu bidhaa za kampuni hiyo kuingia sokoni baada ya kuridhika na viwango vya ubora. Alisema baada ya kuthibitisha ubora wa vilainishi

 

10 years ago

Habarileo

Anayedaiwa kuingiza makomando abadilishiwa mashtaka

WATU wanne akiwemo mfanyabiashara Ally Ally (25) aliyekuwa anakabiliwa na mashitaka ya kusafirisha na kuhifadhi makomando wa Nepal nchini, wamepandishwa kizimbani wakikabiliwa na mashitaka ya usafirishaji wa binadamu uliokithiri.

 

9 years ago

Habarileo

Wafugaji wazuiwa kuingiza mifugo Selous

JAMII ya wafugaji waliopo katika kijiji cha Chengena, kata ya Luchili, wilayani Namtumbo, mkoani Ruvuma wametakiwa kuacha kuingiza mifugo yao na kufanya shughuli nyingine za kibinadamu katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Hifadhi ya Taifa ya Selous kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.

 

10 years ago

Habarileo

Mcolombia kortini kwa kuingiza kokeni

RAIA wa Colombia, Andres Uribe (38), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya kokeni zenye thamani ya Sh milioni 45.2.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani