Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliokwama tano bora watema cheche

Aliyekuwa anawania kuteuliwa na CCM kupeperusha bendera ya chama hicho, Profesa Mark Mwandosya amesema atamuunga mkono mgombea yeyote atakayeteuliwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Warejesha fomu watema cheche

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati), akizungumza na wana CCM baada ya kurejesha fomu za kuomba kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mjini Dodoma jana. Katika mazungumzo yake alijibu pia maswali kuhusu fedha kutoka Libya. Kulia ni mke wake Dorcas Membe na (kushoto) ni Kada wa CCM, Kapteni mstaafu Alhaj Mohamed Ligola. (Na Mpigapicha Wetu).MAKADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamerejesha fomu na kufafanua mambo kadhaa ambayo yamekuwa yanazungumzwa juu yao kama njia ya kujiweka sawa kabla ya uteuzi kufanywa na vikao vikuu vya chama hicho.

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: WANABODABODA RWAMISHENYE FC WATEMA CHECHE TENA, WAIFUNGA TIMU YA NSHAMBYA BAO 4-0. KHALID SELEMAN AFUNGA HAT-TRICK!

Wachezaji timu zote mbili wakisalimiana Rwamishenye FC vs Nshambya FC
Na Faustine Ruta, BukobaTIMU ya Rwamishenye Fc leo imeifunga Nshambya mabao 4-0 kwenye mchezo wao wa pili LIGI YA KAGASHEKI. Mtanange wao wa kwanza wa Ufunguzi wa Hii Ligi waliwanyuka bao 3-1 Mabingwa watetezi Bilele Fc 3-1.Rwamishenye waliokuwa wanapewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na makeke ya wachezaji wake ilijikuta Mchezaji wake Hatari Khalid Seleman akifunga bao zote Nne. 
Kipindi cha kwanza Khalid Seleman...

 

10 years ago

Mwananchi

Fukwe tano bora duniani

Fukwe ni kivutio kizuri cha utalii. Mara nyingi sehemu hizi huwa ni mahususi kwa kupumzika na kuburudika.

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Raia Mwema

Tano bora yangu ya CCM ni hii

KAMA ningekuwa ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), basi ningehaki

Lula wa Ndali Mwananzela

 

9 years ago

Michuzi

Tano Bora ya Hoteli za Kitalii Tanzania

Ukiachana na hifadhi za taifa zitakazokufanya usichoke kutembelea miji na mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania, ni uwepo wa hoteli za kifahari zenye utofauti wa kipekee na hoteli za nchi nyingine. 
Jovago Tanzania, wadau wanaohusika na masuala ya Hoteli kimataifa, wanapenda kukuorodheshea tano bora ya hoteli zilizo kwenye chati ya kukupa mandhari zuri ya kiutalii wa kifahari hapa Tanzania. Manta Resort-Pemba: Ni hoteli ya kipekee yenye chumba cha kulala chini ya bahari ya Hindi. Hoteli hii...

 

10 years ago

GPL

TANO BORA YA CCM KUJULIKANA LEO DODOMA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye. Dodoma. Kisu kikali cha Kamati Kuu ya CCM (CC) leo kitaondoka na vichwa 33 kati ya 38 vya walioomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza ngwe yake. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula. Kikao hicho ni hatua ya pili baada ya kukamilika kwa kikao cha Kamati ya Maadili kilichokutana jana usiku chini ya Mwenyekiti wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani