WALIOMUUA ALBINO MWAKAJILA WA MBEYA LEO WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA
![](http://4.bp.blogspot.com/-rhOgG7zQW5w/VZLpOW7nT-I/AAAAAAAAID8/deLoDfiHqRw/s72-c/Hakimu%2BMwakalinga.jpg)
Hakimu Mwakalinga siku alipohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa mauaji ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. Leo amehukumiwa tena kunyongwa mpaka kufa katika mauaji ya mlemavu wa ngozi Henry Mwakajila.
Na Daniel Mbega
Waliohukumiwa kunyongwa mpaka kufa ni Asangalwisye Kayuni maarufu kama Katiti au Mwakatoga na Gerard Korosso...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Wanne wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua albino
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa
10 years ago
Mwananchi19 Dec
Mahakama yawahukumu watu Sita kunyongwa hadi kufa
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwanajeshi mstaafu Singida ahukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa
Na Nathaniel Limu, Singida
MWANAJESHI mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) mkazi wa kijiji cha Ighuka wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Selemani Juma Karani (64),amehukumiwa na mahakama kuu kanda ya Dodoma adhabu ya kunyongwa hadi kufa.
Karani amehukumiwa adhabu hiyo baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumpiga mshale wa sumu jirani yake Hadija Swalehe kichwani upande wa kulia, na kutokezea sikio la kushoto na kusababisha kifo chake.
Mwendesha mashitaka wakili wa serikali...
10 years ago
CloudsFM27 Nov
MTUHUMIWAWA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA TEKU AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA.
ASKARImmoja kati ya watatu waliokuwa wakituhumiwa kwa mauaji kwa aliyekuwa mwanafunziwa Chuo kikuu TEKU, amehukumiwa kunyongwa hadi kufa huku wenzie wakiachiwahuru.
Hukumuhiyo ilitolewa katika Mahakama kuu kanda ya Mbeya na Jaji Rose Temba baada yakuridhishwa na ushahidi wa pande zote mbili uliotolewa mahakamani hapo kwanyakati tofauti.
Mwendeshamashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa akisaidiwa na Catherine Paul aliwatajawashtakiwa kuwa aliyehukumiwa ni Askari polisi F5842DC Maduhu na...
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Mkazi wa Singida aliyeuwa baba yake ahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Jengo la Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Singida mahali mahakama kuu inaendelea na vikao vyake.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
Mkulima mkazi wa kijiji cha Damankia kata ya Dungunyi wilaya ya Ikungi mkoani Singida,Silvery Adriano (56), amehukumiwa na mahakama kuu kanda ya Dodoma inayoendelea na vikao vyake mjini hapa,adhabu ya kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kumuuwa baba yake mzazi kwa makusudi.
Imedaiwa mahakamani hapo kuwa mshitakiwa Silvery...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-g0j9bEdvA98/XqRE7dHRs7I/AAAAAAALoLo/-3sC46dNhR8GoqshCOVd4c7H5pY6exXGACLcBGAsYHQ/s72-c/magu%252Bpic.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Jul
Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua albino
MKAZI wa Kiwira, wilayani Rungwe, Hakimu Mwakalinga ambaye aliwahi kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa kukutwa na hatia ya kumuua Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Rungwe, John Mwakenja, amehukumiwa adhabu hiyo kwa mara nyingine baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mlemavu wa ngozi (albino).