Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliouawa Kenya wafikia 147

Nairobi, Kenya

WAKATI familia za wanafunzi waliouawa katika Chuo Kikuu cha Gharisa kilichopo Kaskazini Mashariki mwa Kenya zikielekea katika eneo la mkasa ili kuitambua miili ya waliouawa, idadi ya vifo sasa imefikia watu 147.
Watu hao wengi wakiwa wanafunzi waliuawa katika shambulio lililotekelezwa na wapiganaji wa Kundi la Al shabaab mjini Garissa juzi na wapiganaji hao waliwatenganisha wanafunzi hao kwa misingi ya kidini kabla ya kuwaua wanafunzi wa Kikristo.
Wakati huohuo mamlaka nchini...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 147


Idadi ya wagonjwa wa Corona Tanzania imeongezeka nakufikia  147 baada ya wagonjwa wapya 53 kukutwa na virusi hivyo .
Akiongea na vyombo vya habari leo Ijumaa April 17,2020, Waziri  wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wote hao ni watanzania ambapo 38 ni kutoka Dar es Salaam,10 Zanzibar,Kilimanjaro 1,Mwanza 1,Pwani 1,Lindi 1,na Kagera 1

Waziri Ummy amesema mgonjwa mmoja amefariki dunia na hivyo kufanya idadi ya waliofariki hadi sasa kufika 05  na waliopona ni 11. 


 

10 years ago

GPL

WALIOUAWA HOTELINI TUNISIA WAFIKIA 38

Waliouawa na wakitolewa eneo la ufukweni. Eneo la ufukwe ambapo shambulio hilo lilitekelezwa. Waliouawa, miili yao ikiwa imefunikwa.…

 

10 years ago

TheCitizen

Al-Shabaab now massacre 147 at Kenya university

>At least 147 Kenyan students were massacred yesterday when Somalia’s Al-Shabaab militants attacked a university, the interior minister said.

 

10 years ago

GPL

AL SHABAAB WAUWA 147 CHUO KIKUU CHA GARRISA NCHINI KENYA

Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya kilichoshambuliwa na Al Shaabab jana nchini Kenya. Kutokana na shambulio lililofanywa na kundi la kigaidi la Al Shaabab katika Chuo Kikuu cha Garissa kazkazini mashariki mwa Kenya chenye takriban wanafunzi 1000, wengine na wafanyikazi. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya Joseph Nkaissery amesema watu 147 wameuawa katika shambulio hilo wakati wengine wakiwa majeruhi. Taarifa zinasema kuwa magaidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Familia kutambua miili ya waliouawa Kenya

Familia za wanafunzi waliouawa katika chuo kikuu Kenya zimeenda katika eneo la mkasa ili kuitambua miili ya waliouawa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa awasalia wanafunzi waliouawa Kenya

Papa Francis amewasalia hadharani wanafunzi wa Kenya waliouwawa Alhamisi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 147 zaidi waambukizwa corona Kenya

Idadi ya vifo Kenya kutokana na corona yafikia 58 huku wengine zaidi 147 wakithibitishwa kuambukizwa.

 

5 years ago

CCM Blog

KENYA WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 234


  Idadi ya wagonjwa wa virusi vya coronavirus nchini Kenya  sasa imefikia 234 baada ya watu 9 zaidi kuthibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo.

Hayo ni kwa mujibu wa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye amelihutubia taifa hilo leo Alhamisi  April 16 akiwa Ikulu ya Nchi hiyo.

Kenyatta amesema kwamba serikali ilipima sampuli zingine 704 kwa muda wa saa 24 zilizopita na ndipo hao  watu  tisa wakathibitishwa kuugua. 
Uhuru pia amesema idadi ya watu 53 wamepona kabisa na kuruhusiwa kwenda nyumbani tangu...

 

5 years ago

CCM Blog

WAGONJWA WA CORONA KENYA WAFIKIA 384

  Idadi ya walioambukizwa virusi vya Corona nchini Kenya yafikia 384, ni baada ya wagonjwa wapya 10 kuongezeka ambapo tisa ni kutoka Mombasa na mmoja ni kutoka Nairobi.
Akiongea na Waandishi wa habari leo, Aprili 29, 2020 Katibu wa Afya Mercy Mwangangi amesema katika saa 24 zilizopita sampuli 580 kutoka kaunti 24 zilipimwa dhidi ya homa hiyo. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani