Wambura afukuzwa uanachama Simba
![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W0gvBtAUuaCWhbS0gJ4NIb2ybZy-qdNQCrE-ZfByZ7pc7nJJTZcgwiHhec3jxH8oJIIyAUL2rEM3visNbZg5I2d/wambura.jpg)
Mwanachama mkongwe wa Simba, Michael Wambura. Nicodemus Jonas na Sweetbert Lukonge JUMLA ya wanachama 800 wa Simba, jana walimvua rasmi uanachama, mwanachama mkongwe, Michael Wambura pamoja na wenzake 70 kwa kosa la kufungua kesi katika mahakama za kiraia. Wanachama hao waliridhia kufutwa uanachama huo katika mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay Dar. Wambura ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Mpinzani wa Lipumba afukuzwa uanachama
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
BARAZA Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limemvua uanachama mjumbe wake kutoka Mkoa wa Shinyanga, Chifu Lutayosa Yemba.
Chifu Yemba ambaye pia alikuwa ni mpinzani wa Profesa Ibrahim Lipumba katika kuwania uenyekiti wa CUF kwenye uchaguzi uliofanyika mwaka jana, alivuliwa uanachama kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za chama pamoja na kutumia vibaya jina la mwenyekiti wa chama hicho.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho cha Baraza Kuu...
10 years ago
Habarileo02 Jun
Diwani NCCR afukuzwa uanachama
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemfukuza uanachama Diwani wake wa Kata ya Kasulu Mjini, Isack Rashid kikimtuhumu kutoa siri za chama na kuzusha migogoro kati yake na viongozi wenzake.
11 years ago
Mtanzania06 Aug
Wambura: Sitambui kufutwa uanachama
![Michael Wambura](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Michael-Wambura.jpg)
Katibu Mkuu wa zamani wa Simba, Michael Wambura,
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWANACHAMA wa Simba, Michael Wambura, amesema hatambui uamuzi wa mkutano mkuu wa klabu hiyo kumfuta uanachama yeye na wanachama wengine, akidai uamuzi huo unapingana na Katiba ya Simba na ile ya nchi.
Agosti 3, mwaka huu, Mkutano Mkuu wa Simba ulimfuta uanachama Wambura na wanachama 71 waliopeleka kesi ya uchaguzi mahakamani, suala hilo linalokinzana na Katiba ya Simba ibara ya 55, ambayo inaonyesha wazi kuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8fil5gmLgTZdP5UMqIoHolK1bDU65GjVxGWsv5nNwpT0Ajt4G*gGxElmG3yuQB8zFUtlKFu4mGowBzzgv-DV4ijPy4xbPnDn/kisiga.jpg)
Kisiga arudishwa Simba, afukuzwa mazoezini
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wambura kimeeleweka Simba
MGOMBEA aliyeenguliwa kuwania urais wa Klabu ya Simba katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29, Michael Wambura, amerejeshwa rasmi katika kinyang’anyiro hicho baada ya kushinda rufaa yake. Wambura, alienguliwa na Kamati...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wambura yametimia Simba
MICHAEL Richard Wambura aliyekuwa anawania nafasi ya uenyekiti katika klabu ya Simba kupitia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 29, jijini Dar es Salaam, amechujwa katika mbio hizo kwa kutokuwa mwanachama....
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Wambura alia udikteta Simba
ALIYEKUWA mgombea urais katika uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba kabla ya kuchujwa, Michael Richard Wambura, amewakingia kifua wanachama 69 waliosimamishwa na uongozi mpya na kusema kitendo hicho kinajenga misingi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GNPHxMPWE-0GzsBe7FKcByFtMAQzs9nA*8ZOciSD4in70ooWORP61Go0-XL6-hGRE24qP*yjnoVmHL3vDBtPZgsSggobkJX6/144.jpg?width=650)
Dakika 17 zamuondoa Wambura Simba
11 years ago
Daily News10 May
Wambura to test Simba waters
Daily News
Daily News
NEXT month's Simba general election promises nothing but a tight battle as former administrator and a well-known club fanatic, Michael Wambura confirmed that he will contest for the presidential post. Wambura, the former Secretary General of the then ...