Wambura: Sitambui kufutwa uanachama
Katibu Mkuu wa zamani wa Simba, Michael Wambura,
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWANACHAMA wa Simba, Michael Wambura, amesema hatambui uamuzi wa mkutano mkuu wa klabu hiyo kumfuta uanachama yeye na wanachama wengine, akidai uamuzi huo unapingana na Katiba ya Simba na ile ya nchi.
Agosti 3, mwaka huu, Mkutano Mkuu wa Simba ulimfuta uanachama Wambura na wanachama 71 waliopeleka kesi ya uchaguzi mahakamani, suala hilo linalokinzana na Katiba ya Simba ibara ya 55, ambayo inaonyesha wazi kuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W0gvBtAUuaCWhbS0gJ4NIb2ybZy-qdNQCrE-ZfByZ7pc7nJJTZcgwiHhec3jxH8oJIIyAUL2rEM3visNbZg5I2d/wambura.jpg)
Wambura afukuzwa uanachama Simba
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Kuandikwa na kufutwa uanachama chama cha siasa
HATUA ya kufutiwa uanachama huwa haieleweki vizuri kwa watu wengi. Kuna mambo mengi ya kufanya pale unapofutiwa uanachama. Unaweza kukaa kimya. Ukakubali kuondoka katika chama na hata ukaanzisha chama chako...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-xhhv-eiYr1Q/VQFLvY6zejI/AAAAAAAAJvY/Y5cY9c5C8b0/s72-c/11.jpg)
Uliona alichoandika Naibu waziri wa fedha mh.Mwigulu Nchemba baada ya kupokea taarifa ya kufutwa uanachama Zitto Z.Kabwe
![](http://1.bp.blogspot.com/-xhhv-eiYr1Q/VQFLvY6zejI/AAAAAAAAJvY/Y5cY9c5C8b0/s640/11.jpg)
Nakusihi kijana...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-zyJOS-3-wbo/VS01KZpzWkI/AAAAAAAACEs/5erLglivxY8/s72-c/CHIKAWE-640x480.png)
Taasisi za dini kufutwa
Ni zilizoshindwa kuwasilisha mapato na matumizi Zingine zajiingiza kwenye siasa kinyume cha sheria
NA MWANDISHI WETU
TAASISI za dini ziko hatarini kufutwa katika orodha ya usajili kutokana na kuvunja sheria kwa kushindwa kutoa taarifa za mapato na matumizi ya hesabu za fedha kwa mwaka, imeelezwa.
Kazi ya kuzifuta taasisi hizo, inatarajia kufanyika Jumatatu ijayo, baada ya kukamilisha uchambuzi wa taasisi hizo na kwamba itaanzia jijini Dar es Salaam na baaadaye mikoani.
Waziri wa Mambo ya...
10 years ago
Mtanzania15 Apr
Taasisi za dini kufutwa
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imetishia kuzifutia usajili taasisi mbalimbali za kidini, endapo zitabainika kukiuka sheria ya vyama vya kijamii kwa kutoa matamko na kushawishi waumini wao kutekeleza matakwa ya kisiasa.
Kauli ya Serikali, imekuja siku chache baada ya viongozi wa Jukwa la Kikristo Tanzania (PCT) kutoa tamkoa la kuwataka waumini wao kuipigia kura ya hapana Katiba inayopendekezwa, wakisema imeandaliwa kwa njia ya ubabe.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...
10 years ago
Mtanzania25 Apr
CUF yakubali kufutwa
NA AGATHA CHARLES
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wa kukifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwa sababu hakiko tayari kuvunja vikundi vyake vya ulinzi vinavyojulikana kwa majina ya Blue Guard na White Guard.
Kimesema kwa sasa licha ya kuwepo zuio la kuvitumia vikundi hivyo kutoka kwa Jaji Mutungi na Mkuu wa Jeshi la wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, kitaendelea kuvitumia vikundi hivyo katika ziara zake za kichama...
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
EU wajadili uanachama wa Uingereza
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Hifadhi zilizopoteza hadhi kufutwa
SERIKALI imesema inafanya utaratibu wa kuzifuta hifadhi zote za taifa ambazo zimepoteza hadhi ya kuwa hifadhi na kuyagawa maeneo hayo kwa wafugaji. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,...
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Zeidan akanusha kufutwa kazi