Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU wajadili uanachama wa Uingereza

Viongozi wa muungano wa Ulaya wamesema wako tayari kufikia mapatano ya kuiwezesha Uingereza kusalia katika Muungano huo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mpinzani wa Lipumba afukuzwa uanachama

lipumbaNa Aziza Masoud, Dar es Salaam
BARAZA Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limemvua uanachama mjumbe wake kutoka Mkoa wa Shinyanga, Chifu Lutayosa Yemba.
Chifu Yemba ambaye pia alikuwa ni mpinzani wa Profesa Ibrahim Lipumba katika kuwania uenyekiti wa CUF kwenye uchaguzi uliofanyika mwaka jana, alivuliwa uanachama kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za chama pamoja na kutumia vibaya jina la mwenyekiti wa chama hicho.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya kikao hicho cha Baraza Kuu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge ajivua uanachama Chadema

Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi ametangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

10 years ago

BBCSwahili

Palestina yapewa uanachama wa ICC

Wapalestina wamepata uanachama wa mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita miezi mitatu baada ya ombi lao kukubaliwa.

 

10 years ago

Habarileo

Diwani NCCR afukuzwa uanachama

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemfukuza uanachama Diwani wake wa Kata ya Kasulu Mjini, Isack Rashid kikimtuhumu kutoa siri za chama na kuzusha migogoro kati yake na viongozi wenzake.

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AFUTWA UANACHAMA

Stori:  Deogratius Mongela
Mshtuko! Siku chache baada ya kujiengua kwenye nafasi ya uenyekiti katika Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ anadaiwa kufutwa uanachama wa klabu hiyo. Aliyekuwa mwenyekiti katika Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo cha ndani ya klabu hiyo kimepenyeza madai kuwa, wameamua kumvua uanachama Steve kwani wanaona ni...

 

9 years ago

GPL

MWAPACHU AJIVUA UANACHAMA CCM

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza rasmi kujivua uanachama ndani ya CCM bila kusema anaelekea chama gani huku akidai kuwa, CCM imepoteza dira.

 

10 years ago

Mtanzania

Mrema avuliwa uanachama TLP

mremaNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.
Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na MTANZANIA Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine waliovuliwa uanachama ni Hamisi...

 

10 years ago

Michuzi

SIJAFUKUZWA UANACHAMA WA TLP-MREMA


Mwenyekiti   wa chama cha Tnzania Labour Part (TLP) Agustino Mrema akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo)   katika mkutano uiliofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari MELEZO kuhusu kukanusha  kuwa yeye amefukuzwa TLP,Kushoto Mkurugenzi wa Msaidizi wa Idara ya Habari Maelezo,Kulia ni Katibu Mkuu wa TLP,Nancy Mrikariya.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
MWENYEKITI wa Chama cha Tnzania Labour Party (TLP) Agustino Mrema,amesema hajafukuzwa unachama katika chama hicho.
Mrema aliyasema hayo...

 

11 years ago

GPL

Wambura afukuzwa uanachama Simba

Mwanachama mkongwe wa Simba, Michael Wambura. Nicodemus Jonas na Sweetbert Lukonge
JUMLA ya wanachama 800 wa Simba, jana walimvua rasmi uanachama, mwanachama mkongwe, Michael Wambura pamoja na wenzake 70 kwa kosa la kufungua kesi katika mahakama za kiraia. Wanachama hao waliridhia kufutwa uanachama huo katika mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika kwenye Bwalo la Polisi, Oysterbay Dar. Wambura ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani