Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CUF yakubali kufutwa

kambayaNA AGATHA CHARLES
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wa kukifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwa sababu hakiko tayari kuvunja vikundi vyake vya ulinzi vinavyojulikana kwa majina ya Blue Guard na White Guard.
Kimesema kwa sasa licha ya kuwepo zuio la kuvitumia vikundi hivyo kutoka kwa Jaji Mutungi na Mkuu wa Jeshi la wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, kitaendelea kuvitumia vikundi hivyo katika ziara zake za kichama...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama chama Wananchi (CUF)wamepinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kufutwa  kutokana na mtu aliyefanya utenguzi huo ni utashi wake na sio Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza  mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA


Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa siku ya Jumapili ya Tarehe 14 mwezi huu wa sita ndiyo siku rasmi ya kumkabidhi rasmi form ya kuomba kugombea urais wa jamhuri ya muunganoi wa Tanzania mwenyekiti wa chama hicho Profesa IBRAHIM LIPUMBA baada ya kujitokeza mwenyewe katika chama hicho kuomba nafasi hiyo licha ya chama hicho kutangaza kwa muda mrefu watu kujitokeza kutangaza nia.Naibu Mkurugenzi Uchaguzi na Mipango wa CUF, Shaweji Mketo akizngumza na wanahabari mbalimbali makao makuu ya chama...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yakubali yaishe

>Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekubali yaishe na kutangaza uamuzi wa kuahirisha Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa iliyopangwa kufanyika Aprili 30, kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR).

 

10 years ago

BBCSwahili

India yakubali mualiko wa Pakistan

Hii ni ziara ya kwanza ya waziri mkuu Narendra Modi nchini Pakistan baada ya kuingia madarakani mwaka jana

 

10 years ago

BBCSwahili

Renamo yakubali matokeo ya uchaguzi

Kiongozi wa Renamo asema watakubali matokeo ya uchaguzi ingawa upigaji kura ulikuwa na kasoro

 

10 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji: Malaysia yakubali kuwapokea

Waziri mkuu wa Maysia Najib Razak ameamuru kuanzisha operesheni ya kutafuta na kukomboa mashua za wahamiaji, bahari ya Andaman.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugiriki yakubali masharti ya wadeni

Wabunge wa Ugriki wamepiga kura kuunga mkono masharti mapya yaliyowekwa na wadeni wa taifa hilo lililo katika hatari ya kufilisika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mahakama yakubali Nkurunziza agombee

Mahakama ya katiba ya Burundi imempa idhini rais Pierre Nkurunziza nafasi ya kuwania muhula wa tatu

 

10 years ago

Mtanzania

Taasisi za dini kufutwa

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imetishia kuzifutia usajili taasisi mbalimbali za kidini, endapo zitabainika kukiuka sheria ya vyama vya kijamii kwa kutoa matamko na kushawishi waumini wao kutekeleza matakwa ya kisiasa.
Kauli ya Serikali, imekuja siku chache baada ya viongozi wa Jukwa la Kikristo Tanzania (PCT) kutoa tamkoa la kuwataka waumini wao kuipigia kura ya hapana Katiba inayopendekezwa, wakisema imeandaliwa kwa njia ya ubabe.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani