Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zeidan akanusha kufutwa kazi

Aliyekuwa waziri mkuu wa Libya Ali Zeidan amepuuzilia mbali kura ya kutokuwa na imani naye

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MWAKALEBELA AKANUSHA KUFUTWA KWA KESI YAKE DHIDI YA MCHUNGAJI PETTER MSIGWA NA MKURUGEZI WA MANISPAA YA IRINGA

Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iringa mjini kimekanusha kufutwa kwa kesi yao dhidi ya Mkurungenzi wa manispaa ya Iringa  pamoja na mbunge wa jimbo la iringa mjini mchungaji  Peter Msigwa.
Katibu wa CCM  wilaya ya Iringa mjini ELISHA MWAMPASHE amesema kuwa taarifa zilizosambaa sehemu mbalimbali sio za kweli.“Nimekuwa nikipigiwa simu nyingi toka jana nikipewa taarifa kuwa kesi yetu imetupiliwa mbali na imeenea sana kwenye mitandao ya kijamii na maeneo mbalimbali ukweli ni kwamba kesi ya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Israel:Aliyemkosoa Obama kufutwa kazi

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ataubadilisha uteuzi wa mkurugenzi mpya wa mawasiliano kufuatia tamko la akimkosoa rais Barrack Obama

 

11 years ago

BBC

Libya ex-PM Zeidan 'leaves country'

Former Libyan PM Ali Zeidan has left the country, reports say, despite a travel ban being imposed after he lost a confidence vote in parliament.

 

10 years ago

Mtanzania

Taasisi za dini kufutwa

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
SERIKALI imetishia kuzifutia usajili taasisi mbalimbali za kidini, endapo zitabainika kukiuka sheria ya vyama vya kijamii kwa kutoa matamko na kushawishi waumini wao kutekeleza matakwa ya kisiasa.
Kauli ya Serikali, imekuja siku chache baada ya viongozi wa Jukwa la Kikristo Tanzania (PCT) kutoa tamkoa la kuwataka waumini wao kuipigia kura ya hapana Katiba inayopendekezwa, wakisema imeandaliwa kwa njia ya ubabe.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mtanzania

CUF yakubali kufutwa

kambayaNA AGATHA CHARLES
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wa kukifuta katika orodha ya vyama vya siasa kwa sababu hakiko tayari kuvunja vikundi vyake vya ulinzi vinavyojulikana kwa majina ya Blue Guard na White Guard.
Kimesema kwa sasa licha ya kuwepo zuio la kuvitumia vikundi hivyo kutoka kwa Jaji Mutungi na Mkuu wa Jeshi la wa Polisi (IGP), Ernest Mangu, kitaendelea kuvitumia vikundi hivyo katika ziara zake za kichama...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Taasisi za dini kufutwa



 Ni zilizoshindwa kuwasilisha mapato na matumizi  Zingine zajiingiza kwenye siasa kinyume cha sheria 
NA MWANDISHI WETU 
TAASISI za dini ziko hatarini kufutwa katika orodha ya usajili kutokana na kuvunja sheria kwa kushindwa kutoa taarifa za mapato na matumizi ya hesabu za fedha kwa mwaka, imeelezwa.  
Kazi ya kuzifuta taasisi hizo,  inatarajia kufanyika Jumatatu ijayo, baada ya kukamilisha uchambuzi wa taasisi hizo na kwamba itaanzia jijini Dar es Salaam na baaadaye mikoani.
Waziri wa Mambo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hifadhi zilizopoteza hadhi kufutwa

SERIKALI imesema inafanya utaratibu wa kuzifuta hifadhi zote za taifa ambazo zimepoteza hadhi ya kuwa hifadhi na kuyagawa maeneo hayo kwa wafugaji. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,...

 

10 years ago

Habarileo

Miliki maeneo ya madini kufutwa

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneSERIKALI imetangaza kuanza kufuta umiliki wa maeneo yaliyotelekezwa na wachimba madini kote nchini, ikiwa ni pamoja na kunyang’anya leseni zilizoombwa na wachimbaji ambao wameshindwa kuzilipia.

 

11 years ago

Mtanzania

Wambura: Sitambui kufutwa uanachama

Michael Wambura

Katibu Mkuu wa zamani wa Simba, Michael Wambura,

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

MWANACHAMA wa Simba, Michael Wambura, amesema hatambui uamuzi wa mkutano mkuu wa klabu hiyo kumfuta uanachama yeye na wanachama wengine, akidai uamuzi huo unapingana na Katiba ya Simba na ile ya nchi.

Agosti 3, mwaka huu, Mkutano Mkuu wa Simba ulimfuta uanachama Wambura na wanachama 71 waliopeleka kesi ya uchaguzi mahakamani, suala hilo linalokinzana na Katiba ya Simba ibara ya 55, ambayo inaonyesha wazi kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani