Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wambura, Kaburu kitanzini

>Michael Wambura na Geofrey Nyange ‘Kaburu’ pamoja na wagombea  wa ujumbe wa kamati ya utendaji ya Simba wamewekewa pingamizi la kuwania uongozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wambura, Kaburu ngoma nzito

Wagombea Geofrey Nyange ‘Kaburu’ na Michael Wambura wamekalia kuti kavu kwenye kinyang’anyiro cha uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba uliopangwa kufanyika Juni 29 mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

Yanga wataka Kaburu ajiuzuru

Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’. Mohammed Mdose na Khadija Mngwai
Dar es Salaam
KLABU ya Yanga imehoji juu ya uwepo wa kiongozi mmoja ndani ya Bodi ya Ligi huku akiwa na wadhifa mwingine kwenye klabu pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kusema kuwa hiyo ni moja ya kulifanya soka letu lizidi kudorora. Japo Yanga hawakumtaja moja kwa moja  kiongozi huyo, lakini habari zinadai kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kaburu ampinga kocha Mzungu

Kinyume na vitisho vya kocha mpya wa Simba, Goran Kopunovic aliyemtaka mshambuliaji wake Emmanuel Okwi awe amewasili kwenye mazoezi ya klabu hiyo saa 24 vinginevyo ataadhibiwa, uongozi wa klabu hiyo umemkingia kifua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kaburu: Nitafuta makundi Simba

MGOMBEA wa nafasi ya makamu wa rais wa Simba ya jijini Dar es Salaam, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, amezindua kampeni zake kwa kuwataka wanachama wa klabu hiyo kumpa ridhaa ya kushika...

 

9 years ago

Habarileo

Kipigo cha Yanga kinauma — Kaburu

MAKAMU wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ amesema kitendo cha timu yao kufungwa na Yanga juzi kimewaumiza, lakini hakiwarudishi nyuma, wanachukulia ni sehemu ya mchezo.

 

11 years ago

GPL

Aveva, Kaburu wamsimamisha Hans Pope Simba

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope. Na Khadija Mngwai
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope, ameamua kujiweka pembeni katika suala zima la usajili kwenye kikosi hicho. Hans Pope ambaye amekuwa nguvu muhimu kwenye kikosi cha Simba, amesema anasubiri kwanza uongozi mpya chini ya Evans Aveva na Geofrey Nyange ‘Kaburu’ utangaze kamati zake.
Juni 29, Simba ilifanikiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Gwajima kitanzini

Na Asifiwe George, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtaka Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kupeleka nyaraka 10 za mali anazomiliki.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwanasheria wa Askofu Gwajima, John Mallya, alisema anatakiwa kuzipeleka nyaraka hizo kituoni hapo Aprili 16 mwaka huu.
Mallya alisema hatua hiyo imefikiwa baada ya mteja wake kuhojiwa na polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili za kumtolea maneno ya kashfa...

 

11 years ago

Mwananchi

Bodi ya Ligi kitanzini

Dar es Salaam. Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichokutana jana kimeshindwa kuivunja bodi ya ligi badala yake wameunda kamati ya kuchunguza muundo wake.

 

10 years ago

Mtanzania

Majaji wa Escrow kitanzini

Hussein KatangaNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

TUME ya Utumishi wa Mahakama imesema suala la majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wanaotuhumiwa kupokea zaidi ya Sh milioni 400 kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow, limefika kwenye tume hiyo na linafanyiwa kazi.
Kwa utaratibu wa tume hiyo, baada ya uchunguzi taarifa hupelekwa kwa rais ambaye baada ya kupitia mapendekezo yaliyotolewa kwenye ripoti ya uchunguzi, hutoa uamuzi.
Hayo yalielezwa jana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Hussein Katanga, katika banda la Tume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani