Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga wataka Kaburu ajiuzuru

Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’. Mohammed Mdose na Khadija Mngwai
Dar es Salaam
KLABU ya Yanga imehoji juu ya uwepo wa kiongozi mmoja ndani ya Bodi ya Ligi huku akiwa na wadhifa mwingine kwenye klabu pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kusema kuwa hiyo ni moja ya kulifanya soka letu lizidi kudorora. Japo Yanga hawakumtaja moja kwa moja  kiongozi huyo, lakini habari zinadai kuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Kipigo cha Yanga kinauma — Kaburu

MAKAMU wa Rais wa Simba, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ amesema kitendo cha timu yao kufungwa na Yanga juzi kimewaumiza, lakini hakiwarudishi nyuma, wanachukulia ni sehemu ya mchezo.

 

10 years ago

Michuzi

KABURU NA BINDA WAWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KATIKA NANI MTANI JEMBE JIJINI ARUSHA

Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela jana kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho. Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu(kushoto) na Mjumbe Kamati Kuu ya timu ya Yanga,Mohamed Binda,wakicheza danadana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe kwenye kiwanda cha Bia mkoani Arusha jana. Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA SASA WATAKA WANAJESHI WACHEZE LIGI KUU YAO

Uongozi wa klabu ya Yanga umeshauri timu za majeshi kupewa nafasi ya kushiriki Ligi Kuu Bara ya wanajeshi.Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akiwa amekabwa roba na mchezaji…Msemaji na mkuu wa kitengo cha Yanga, Jerry Muro amesema timu za majeshi zimekuwa zikigeusa mchezo wa soka kama vita."Kweli ile ni vita na si jambo jema. Hivyo tunawaomba kama TFF wataweza basi wawape nafasi watu hawa kucheza ligi yao."Wacheze timu za majeshi maana wao watakuwa wana mbinu za kijeshi kupambana....

 

10 years ago

Vijimambo

MWANASHERIA MKUU AJIUZURU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Blair ajiuzuru ujumbe Quartet

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair amejiuzulu nafasi ya ujumbe wa umoja wa kimataifa katika kamati unaoshughulikia usuluhishi wa mgogoro wa Mashariki ya kati Quartet

 

9 years ago

BBCSwahili

Davies ajiuzuru kupisha uchunguzi

Afisa mwandamizi wa riadha Duniani,Nick Davies ameamua kujiuzuru kwa muda kupisha uchunguzi wa ndani kufuatia sakata la barua pepe i.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri wa Ulinzi wa Marekani ajiuzuru

Waziri wa ulinzi nchini Marekani, Chuck Hagel,amejiuzuru nafasi yake hiyo akiwa ametumia muda wa chini ya miaka miwili kazini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wambura, Kaburu kitanzini

>Michael Wambura na Geofrey Nyange ‘Kaburu’ pamoja na wagombea  wa ujumbe wa kamati ya utendaji ya Simba wamewekewa pingamizi la kuwania uongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kaburu ampinga kocha Mzungu

Kinyume na vitisho vya kocha mpya wa Simba, Goran Kopunovic aliyemtaka mshambuliaji wake Emmanuel Okwi awe amewasili kwenye mazoezi ya klabu hiyo saa 24 vinginevyo ataadhibiwa, uongozi wa klabu hiyo umemkingia kifua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani