YANGA SASA WATAKA WANAJESHI WACHEZE LIGI KUU YAO

Uongozi wa klabu ya Yanga umeshauri timu za majeshi kupewa nafasi ya kushiriki Ligi Kuu Bara ya wanajeshi.
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akiwa amekabwa roba na mchezaji…Msemaji na mkuu wa kitengo cha Yanga, Jerry Muro amesema timu za majeshi zimekuwa zikigeusa mchezo wa soka kama vita."Kweli ile ni vita na si jambo jema. Hivyo tunawaomba kama TFF wataweza basi wawape nafasi watu hawa kucheza ligi yao."Wacheze timu za majeshi maana wao watakuwa wana mbinu za kijeshi kupambana....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Feb
MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM HADI SASA
Pos. Logo Club P W D L GF GA GD Pts 1











11 years ago
Mwananchi20 Sep
Ligi Kuu Bara sasa kuchezwa usiku
10 years ago
Habarileo31 Jul
Yanga ‘wahamia’ Ligi Kuu
KOCHA wa Yanga Hans van Pluijm amesema mchezo na Azam ulikuwa mgumu, wenye ushindani wa hali ya juu na ulistahili kuwa mchezo wa fainali ya Kagame.
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Yanga yaongoza ligi kuu Tanzania
10 years ago
Michuzi
Yanga yaishukia bodi ya Ligi,yagomea mechi yao dhidi ya JKT Ruvu

Uongozi wa Klabu ya Yanga umeishukia bodi ya Ligi kwa kile walichodai kuwa wamechakachua kanuni kwa kuiruhusu Timu ya Simba kumtumia mchezaji Ibrahimu Hajibu na kuitaka sheria zichukue mkondo wake huku wakigomea mechi yao dhidi ya JKT Ruvu kusogezwa mbele.
Akizungumza kwenye Makao Makuu ya Klabu hiyo leo, Msemaji wa Yanga Jerry Muro amesema Bodi ya Ligi inayumbisha soka la Tanzania kwa kupindisha sheria na kitendo walichofanya ni...
11 years ago
Jamtz.Com
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga
10 years ago
Mwananchi08 Apr
LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike