Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri wa Ulinzi wa Marekani ajiuzuru

Waziri wa ulinzi nchini Marekani, Chuck Hagel,amejiuzuru nafasi yake hiyo akiwa ametumia muda wa chini ya miaka miwili kazini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Waziri wa Ulinzi wa Marekani na naibu wake wawekwa karantini baada ya maafisa 37 wa Pentagon kupatwa na corona

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Mark Thomas Esper na Naibu wake wamewekwa karantini tangu Jumatatu ya jana baada ya kuthibitika kuwa, maafisa 37 wa wizara hiyo wameambukizwa virisi vya corona.

Taarifa ilitotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema kuwa, miongoni mwa maafisa wa wizara hiyo walioathirika na virusi vya corona wamo askari 18, suala ambalo limezidisha wasiwasi wa kusambaa zaidi virusi hivyo katika jeshi la Marekani.

Habari hii ya kuwekwa karantini Waziri wa Ulinzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA WA FORODHA NA ULINZI WA MIPAKA WA MAREKANI ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto), akizungumza na Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske alipomtembelea ofisini kwake kuzungumzia masuala ya ushirikiano wa shughuli za kiulinzi kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kulia ni Msaidizi wa Balozi wa Marekani hapa nchini Bi. Virginia Blaser. Kamishna wa Forodha na Ulinzi wa Mipaka toka Serikali ya Marekani Bw. R. Gil Kerlikowske (kulia), akifafanua...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri wa ulinzi afutwa kazi CAR

Mawaziri 2 waliotuhumiwa kwa kuchochea mapigano yaliyosababisha vifo vya watu 40 mwezi uliopita katika jamhuri ya Afrika ya Kati wamefutwa kazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Hussein Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Historia yake Dk Hussein Mwinyi alizaliwa Desemba 23, 1966 huko Unguja, Zanzibar (Desemba mwaka huu atatimiza miaka 49). Dk Mwinyi ni mtoto wa Mzee Ali Hassan Mwinyi (Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) na mama Sitti Mwinyi. Kwa sasa Dk Mwinyi ni Mbunge wa Kwahani Zanzibar na ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

Michuzi

JK akutana na Waziri wa Ulinzi wa China Jenerali Chang Wanquan leo

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea  Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika  mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa China Jenerali Chang Wanquan  Ikulu jijini Dar es salaam leo Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Ulinzi wa China  Ikulu jijini Dar es salaam leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ATUA KIGOMA, AKUTANA NA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali Mstaafu, Issa Machibya (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe katika ofisi za Mkoa huo zilizopo mjini Kigoma wakati Waziri Chikawe na maafisa wake walipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. Waziri Chikawe alikutana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya usalama katika wilaya zote za mkoa huo. Waziri Chikawe katika ziara yake hiyo, pia anatarajiwa kutembelea Kambi za...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANASHERIA MKUU AJIUZURU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA CHINA JENERALI CHANG WANQUAN

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Waziri wa Ulinzi wa China na ujumbe wake Jenerali Chang Wanquan Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika  mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa China Jenerali Chang Wanquan  Ikulu jijini Dar es salaam.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Davies ajiuzuru kupisha uchunguzi

Afisa mwandamizi wa riadha Duniani,Nick Davies ameamua kujiuzuru kwa muda kupisha uchunguzi wa ndani kufuatia sakata la barua pepe i.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani