Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Davies ajiuzuru kupisha uchunguzi

Afisa mwandamizi wa riadha Duniani,Nick Davies ameamua kujiuzuru kwa muda kupisha uchunguzi wa ndani kufuatia sakata la barua pepe i.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais wa CONMEBOL ajiuzuru, uchunguzi wa kashfa ya rushwa juu yake waendelea

napout

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Rais wa Shirikisho la Soka la Amerika Kusini (CONMEBOL), Juan Angel Napout (pichani) amejiuzulu nafasi yake ya urais huku uchunguzi ukiendelea kuhusu kuhusika na kashfa ya rushwa inayowakabili viongozi wa  Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).

Katika taarifa iliyotolewa na CONMEBOL ilisema kuwa Napout amejiuzulu nafasi yake ya urais na nafasi yake kukaimiwa kwa muda na Wilmar Valdez ambaye kwa sasa ni rais wa Soka wa Chama cha Uruguay (AUF) mpaka uchaguzi washrikisho...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri ajiuzulu Ureno kupisha uchunguzi

Waziri wa mambo ya ndani wa Ureno amejiuzulu kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma za rushwa

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Kiongozi amsimamisha kazi ndugu Maswi kupisha uchunguzi!

DSC_0453

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi (pichani),  Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Balozi Sefue amemsimamisha kazi Ndugu Maswi kuanzia leo, Jumanne, Desemba 23, 2014, kwa kutumia madaraka aliyonayo kama Mamlaka ya Nidhamu kwa Watumishi wa Umma wanaoteuliwa na Rais, wakiwemo...

 

10 years ago

CloudsFM

KIFO CHA AISHA MADINDA KINA UTATA,MAZISHI YAAHIRISHWA KUPISHA UCHUNGUZI

Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo,Aisha Madinda yameahirishwa hadi majibu ya uchunguzi yatakapofanyika na kutolewa na hospitali ya taifa ya Muhimbili, ilidaiwa Aisha Madinda aliyefariki jana mchana wakati akikimbizwa hospitalini, na kwa mujibu wa hospitali ya Mwananyamala mpaka anafikishwa hospitali na waliupima mwili na kugundua alikwisha fariki dunia. Clouds FM imezungumza na mtoto wa kwanza wa marehem aitwaye, Feisal Madinda alisema kuwa mazishi...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANASHERIA MKUU AJIUZURU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri wa Ulinzi wa Marekani ajiuzuru

Waziri wa ulinzi nchini Marekani, Chuck Hagel,amejiuzuru nafasi yake hiyo akiwa ametumia muda wa chini ya miaka miwili kazini.

 

10 years ago

GPL

Yanga wataka Kaburu ajiuzuru

Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’. Mohammed Mdose na Khadija Mngwai
Dar es Salaam
KLABU ya Yanga imehoji juu ya uwepo wa kiongozi mmoja ndani ya Bodi ya Ligi huku akiwa na wadhifa mwingine kwenye klabu pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kusema kuwa hiyo ni moja ya kulifanya soka letu lizidi kudorora. Japo Yanga hawakumtaja moja kwa moja  kiongozi huyo, lakini habari zinadai kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Blair ajiuzuru ujumbe Quartet

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair amejiuzulu nafasi ya ujumbe wa umoja wa kimataifa katika kamati unaoshughulikia usuluhishi wa mgogoro wa Mashariki ya kati Quartet

 

10 years ago

BBCSwahili

Ben Davies apasuliwa bega

Beki wa kulia wa Tottenham Ben Davies ameenguliwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Wales baada ya kufanyiwa upasuji wa bega.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani