Blair ajiuzuru ujumbe Quartet
Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair amejiuzulu nafasi ya ujumbe wa umoja wa kimataifa katika kamati unaoshughulikia usuluhishi wa mgogoro wa Mashariki ya kati Quartet
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jK7-NTyuxfAA1HTnc4nN0GQfs5Rc4AWNTbjn4dMOZ2oUlC31UG5r9BYoxdjKHwwQQ1NRlDE87AtE4YxVpfpoTqw9JMOFBIcw/Blair.jpg?width=650)
TONY BLAIR AJIUZULU UJUMBE WA UMOJA WA MATAIFA
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair. Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair ametangaza kujiuzulu nafasi ya Ujumbe wa Umoja wa Kimataifa kwenye kamati inaoshughulikia usuluhishi wa migogoro ya Mashariki ya Kati Quartet. Migogoro hiyo inahusisha nchi ya Israel na Palestina nafasi ambayo ameitumikia kwa kipindi cha miaka nane tangu mwaka 2007 akiwakilisha pande nne yaani Marekani, Russia, Umoja wa Ulaya na Umoja...
9 years ago
TheCitizen22 Aug
Tanzania pins medal hopes on quartet at Beijing meet
Tanzanian long distance runners will be in action today as the 15th edition of the IAAF World Championship begins in Beijing.
9 years ago
TheCitizen09 Oct
Tunisian National Dialogue Quartet wins Nobel Peace Prize
Tunisia's National Dialogue Quartet won the Nobel Peace Prize on Friday for its contribution to building democracy after the Jasmine Revolution in 2011, the Nobel Committee said.
10 years ago
Vijimambo16 Dec
MWANASHERIA MKUU AJIUZURU
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji...
10 years ago
BBCSwahili25 Nov
Waziri wa Ulinzi wa Marekani ajiuzuru
Waziri wa ulinzi nchini Marekani, Chuck Hagel,amejiuzuru nafasi yake hiyo akiwa ametumia muda wa chini ya miaka miwili kazini.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vu2giU6L5OcrLGoLwHZDe1nVNJV*XoscXRUTgNBk62xyeJRe87GaHBCcaIMpqjJ6Mtd2WKNCUqDyaBiCm2gyeof0YPxyA2Qw/1.jpg)
Yanga wataka Kaburu ajiuzuru
Makamu wa Rais wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’. Mohammed Mdose na Khadija Mngwai
Dar es Salaam
KLABU ya Yanga imehoji juu ya uwepo wa kiongozi mmoja ndani ya Bodi ya Ligi huku akiwa na wadhifa mwingine kwenye klabu pamoja na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kusema kuwa hiyo ni moja ya kulifanya soka letu lizidi kudorora. Japo Yanga hawakumtaja moja kwa moja kiongozi huyo, lakini habari zinadai kuwa...
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Davies ajiuzuru kupisha uchunguzi
Afisa mwandamizi wa riadha Duniani,Nick Davies ameamua kujiuzuru kwa muda kupisha uchunguzi wa ndani kufuatia sakata la barua pepe i.
9 years ago
BBC11 Dec
Blair: Gaddafi rule 'not sustainable'
Tony Blair tells MPas the overthrow of Libyan leader Colonel Gaddafi was probably inevitable but insists he was right to attempt to broker a peace deal with him.
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Profesa Muhongo ajiuzuru, asema yeye ni mtu safi
Kufuatia kuhusishwa na sakata la uchotwaji wa mabilioni ya fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo ameamua kumuandikia barua Raisi ya kujiuzulu wadhifa wake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania