Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wambura: Sina imani na kamati

Wakati wagombea wenye vyeti feki wakitarajiwa kuanikwa Jumatatu, mgombea wa nafasi ya urais, Michael Wambura, ameishukia Kamati ya Uchaguzi ya Simba kwa kudai imeweka utaratibu mbovu wa kupokea pingamizi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Zitto: Sina imani na Ukawa

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe

GABRIEL MUSHI NA VERONICA ROMWALD

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara ya kwanza ameibuka na kupingana na harakati za Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).

Zitto amesema hana uhakika wala hauamini Ukawa kama utakuwa umoja endelevu hadi kufikia Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, kwa sababu si mara ya kwanza vyama vya upinzani kuungana na kugawanyika.
Mbali ya kutokuwa na imani na umoja huo, pia ameitaka Serikali kusitisha mchakato wa Katiba...

 

10 years ago

GPL

KWA NILIVYOTENDWA, SINA IMANI NA MWANAMKE!

Nimatumaini yangu kuwa Sikukuu ya Idi ilikuwa murua na hongereni kwa kusherehekea vizuri. Kama nilivyoahidi wiki iliyopita kwamba wiki hii nitatoa nafasi kwenu wasomaji kusikia maoni yenu juu ya mada ambazo nimekuwa nikizileta kwenu juu ya uhusiano wa kimapenzi. Mmoja wa watoa maoni anadai hana imani tena na mwanamke kwa sababu aliwahi kutendwa vibaya na msichana aliyempenda kwa dhati.Kwako mtoa maoni na wengine, kuumia na...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI ya Utendaji yaTFF imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi

KAMATI  ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi ili kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vituo vya michezo vya Kigamboni, Dar es Salaam na Tanga.
Kabla ya kuunda Kamati hiyo, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Kamati hiyo ni QS Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan, na...

 

11 years ago

GPL

Wambura ni nouma!

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
HAKIKA Michael Richard Wambura ni noma, hiyo ni baada ya wajumbe wa Kamati ya Rufani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuumiza vichwa kupata muafaka juu ya suala lale la kuenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais katika Klabu ya Simba.

Mgombea huyo alienguliwa katika uchaguzi huo na Kamati...

 

11 years ago

TheCitizen

Wambura disqualified again

>Michael Wambura has once again hit a stumbling block in his bid to return to football management as he has been disqualified from contesting in Simba Sports Club’s general election.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wambura si Mwanasimba’

Dar es Salaam. Jinamizi la kuenguliwa katika kinyang’anyiro cha uongozi kwa Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Soka Tanzania (FAT) sasa TFF, Michael Wambura limezidi kumwandama na safari hii akienguliwa kuwania nafasi ya urais katika klabu ya Simba.

 

11 years ago

Daily News

'Why we reinstated Wambura'


Daily News
'Why we reinstated Wambura'
Daily News
THE Tanzania Football Federation (TFF) Election Appeal Committee chairman Julius Lugaziya has explained why they overruled the decision by Simba Electoral Committee to disqualify the club's presidential aspirant Michael Wambura. The TFF Election ...
Wambura Case Thorny for TFFAllAfrica.com

all 6

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani