Wambura ni nouma!
![](http://api.ning.com:80/files/3dClu3zYZuuYlugMrDEgW-txqW4Wrsn1WdzGRh3Y*eAZZCKsEXmNdVYSdOcAJoxrDaHPOMGdrjWI45S2XZIFDAMmPI0xKbVP/wambura.jpg?width=650)
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge HAKIKA Michael Richard Wambura ni noma, hiyo ni baada ya wajumbe wa Kamati ya Rufani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuumiza vichwa kupata muafaka juu ya suala lale la kuenguliwa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya urais katika Klabu ya Simba. Mgombea huyo alienguliwa katika uchaguzi huo na Kamati...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi29 May
‘Wambura si Mwanasimba’
11 years ago
Daily News12 Jun
'Why we reinstated Wambura'
Daily News
Daily News
THE Tanzania Football Federation (TFF) Election Appeal Committee chairman Julius Lugaziya has explained why they overruled the decision by Simba Electoral Committee to disqualify the club's presidential aspirant Michael Wambura. The TFF Election ...
Wambura Case Thorny for TFFAllAfrica.com
all 6
11 years ago
TheCitizen29 May
Wambura disqualified again
11 years ago
Mwananchi21 Jun
TFF yamtosa Wambura
11 years ago
TheCitizen11 Jun
Wambura cleared for election?
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Filamu ya Wambura ‘Party Three’
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Rufaa ya Wambura Jumatatu
KAMATI ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inatarajia kukutana Jumatatu kusikiliza rufani ya aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa Klabu ya Simba, Michael Wambura. Wambura...
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Wambura shaka tupu
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wambura kimeeleweka Simba
MGOMBEA aliyeenguliwa kuwania urais wa Klabu ya Simba katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29, Michael Wambura, amerejeshwa rasmi katika kinyang’anyiro hicho baada ya kushinda rufaa yake. Wambura, alienguliwa na Kamati...