Zitto: Sina imani na Ukawa
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
GABRIEL MUSHI NA VERONICA ROMWALD
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara ya kwanza ameibuka na kupingana na harakati za Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Zitto amesema hana uhakika wala hauamini Ukawa kama utakuwa umoja endelevu hadi kufikia Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, kwa sababu si mara ya kwanza vyama vya upinzani kuungana na kugawanyika.
Mbali ya kutokuwa na imani na umoja huo, pia ameitaka Serikali kusitisha mchakato wa Katiba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 May
Wambura: Sina imani na kamati
10 years ago
GPLKWA NILIVYOTENDWA, SINA IMANI NA MWANAMKE!
11 years ago
Habarileo17 Apr
Zitto- Muungano ni imani si idadi ya Serikali
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Kabwe Zitto amesema muundo wowote wa serikali uwe serikali moja, mbili au tatu unaweza kuvunja Muungano ikiwa hakutakuwa na muafaka wa pande zote mbili za Muungano.
10 years ago
Bongo528 Aug
Zitto: Sina uhusiano na Mwasiti wala Diva
11 years ago
Mtanzania31 Jul
Ukawa: Zitto usituingilie
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
Na Patricia Kimelemeta
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umemtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kuacha kuwaingilia kwenye mambo kwa vile hayamhusu.
Kauli ya Ukawa imekuja siku moja baada ya Zitto kusema hana uhakika na wala haamini kama umoja huo utakuwa endelevu hadi uchaguzi mkuu mwaka 2015, kwa sababu si mara ya kwanza vyama vya upinzani kuungana kisha kugawanyika.
Alisema siku zote Watanzania wanapenda kuwa na upinzani imara...
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Mbowe: Hatumtaki Zitto Ukawa
NA SITTA TUMMA, KYERWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hawatamruhusu Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kauli ya Mbowe imetolewa siku chache baada ya Zitto kutangaza kuwa ACT ipo tayari kujiunga na Ukawa kama wanavyotaka Watanzania wakiwamo baadhi ya viongozi wa umoja huo.
Alitoa kauli hiyo jana wilayani Kyerwa alipozungumza na MTANZANIA.
Mbowe alisema kuwa hawamwamini tena Zitto...
11 years ago
Habarileo31 Jul
Zitto: Sijawahi kuwa Ukawa
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema) amesisitiza hajawahi kuwa katika kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wala kundi lolote ndani ya Bunge Maalumu la Katiba isipokuwa, yuko kwenye linalotaka maridhiano.
10 years ago
GPLZITTO,UKAWA NGOMA NZITO
10 years ago
Mwananchi02 Apr
ACT ya Zitto kuharibu kura za Ukawa?