Wambura Vs Friends of Simba ni vita ya dunia
![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC2HJTqzYJBhYHxpopuvXT42jbsV5IARmt1vpf2Np7hzTSym4C3k6TAVgEzoRibkbPdU-NRPq88Q-L5kg3vC39Lv/WAMBURA.gif?width=650)
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais klabuni hapo, Michael Wambura. Hans Mloli na Sweetbert Lukonge SIKU chache baada ya Kamati ya Rufani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumrejesha Michael Wambura katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Simba kuwania urais, mgombea huyo ameibuka na kutoa mazito yaliyo moyoni. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya klabu hiyo Msimbazi jijini, Wambura alieleza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YiPuhdxzpG2fJAG5cZupibr-8BC9lD7CrsUaFwDHNNhTq6kwuPsUWHoi*mkrmRIKeuImrKafvPP0NFAVsNsIjgT/zii.jpg?width=650)
FRIENDS OF SIMBA: WABAYA WA KILA JAMBO, DAWA YA MWENDO SIMBA
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wambura yametimia Simba
MICHAEL Richard Wambura aliyekuwa anawania nafasi ya uenyekiti katika klabu ya Simba kupitia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 29, jijini Dar es Salaam, amechujwa katika mbio hizo kwa kutokuwa mwanachama....
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wambura kimeeleweka Simba
MGOMBEA aliyeenguliwa kuwania urais wa Klabu ya Simba katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29, Michael Wambura, amerejeshwa rasmi katika kinyang’anyiro hicho baada ya kushinda rufaa yake. Wambura, alienguliwa na Kamati...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Nkwabi aiteka Friends of Simba
MGOMBEA nafasi ya Makamu wa Rais wa Simba, Swedi Nkwabi, amezidi kuiteka klabu hiyo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Juni 29 jijini Dar es Salaam baada ya kuibua mgawanyiko katika...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Friends of Simba watia ubani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1ygck9z1r4AOCEK6EexWnqGaQ25B3kx5Js9C4tHDWGGHlo8cuMN90bBGRpV6xnzcxfkTrTH91b1qmn05o6ia5KAubFcwksgD/11.jpg?width=650)
Friends of Simba wamteka Okwi
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Friends of Simba wachukua timu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi nchini ikizidi kupanda, Kundi la Marafiki wa Simba ‘Friends of Simba’ limeutaka uongozi unaokaribia kumaliza muda wake kulikabidhi kikosi ili kuhakikisha wanaibuka...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SVfVaVsl8W0gvBtAUuaCWhbS0gJ4NIb2ybZy-qdNQCrE-ZfByZ7pc7nJJTZcgwiHhec3jxH8oJIIyAUL2rEM3visNbZg5I2d/wambura.jpg)
Wambura afukuzwa uanachama Simba
11 years ago
Daily News13 May
Wambura seeks Simba presidency
Daily News
THE race for Simba Sports Club presidency is already gaining momentum after another influential member, Michael Wambura, picked nomination forms ready to jostle for the top position. A day after Evans Aveva, from 'Friends of Simba' wing, collected forms ...