Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANA CCM BEIJING WAKUTANA

Wanachama wapya wa Tawi la CCM China waliopo Beijing wakikabidhiwa kadi na Mwenyekiti wa Tawi Ndugu Boniphace Shija Nobeji.Kada na Mtumishi wa CCM Makao Makuu Ndugu Suleiman Serera akitoa seminailiyohusu itikadi na imani ya CCM kwa wanachama wa CCM Beijing.Sehemu ya wanachama waliohudhuria wakiuatilia kwa makini semina iliyokuwa ikitolewa.Wanachama wa mashina ya CCM Beijing wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kumaliza Mkutano wao uliofanyika katika Chuo cha Beijing Normal.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

 

9 years ago

Michuzi

CCM inapenda kutoa taarifa ifuatayo kwa wana-CCM na kwa umma: MALALAMIKO YA CCM KUHUSU MATOKEO KWENYE BAADHI YA MAJIMBO

Chama cha Mapinduzi hakijaridhishwa na utaratibu wa kukusanya na kujumlisha matokeo kwenye baadhi ya majimbo. Katika majimbo manne kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa utaratibu wa uchaguzi, hasa katika kujumlisha matokeo, uliopelekea wabunge wa upinzani kutangazwa washindi. Majimbo hayo ni Iringa Mjini, Mikumi, Ndanda na Kawe. 
Wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo haya wamevuruga uchaguzi. Kutokana na utata uliokuwa umejitokeza wakati wa zoezi la kujumlisha kura, CCM iliomba kura zihesabiwe upya...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA

Makamu wa ccm bara MH.Philip Mangula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika kujadili mstakabali wa wasomi katika ujenzi wa taifa lao.Hii ilifanyika baada ya ziara fupi nchini aliyofanya MH,Mangula mwanzoni wa wiki hii.
Baadhi ya watanzania waishio nchini wakiwa katika picha ya pamoja na makamu wa ccm, bara MH.Philip Mangula
baada ya kikao cha kujadili mambo kadhaa ya...

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA‏

Makamu wa ccm bara MH.Philip Mangula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika kujadili mstakabali wa wasomi katika ujenzi wa taifa lao.Hii ilifanyika baada ya ziara fupi nchini aliyofanya MH,Mangula mwanzoni wa wiki hii.… ...

 

5 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'


Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wana CCM isimamieni serikali

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wana-CCM kutokuwa na woga katika kuisimamia Serikali katika ngazi zote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wana CCM watakiwa kuacha woga

MUASISI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Leo Lwekamwa, ameibuka na kutoa maoni yake kuhusu muundo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasimu ya pili ya Katiba, kwa kuwataka wanachama wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Wana CCM msibague vyama

Pg 1 magufuliNA BAKARI KIMWANGA, RUVUMA

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amewataka wagombea ubunge na udiwani kupitia chama hicho, kutowabagua watu watakaowachagua kwa itikadi za vyama vyao.

Alisema suala la maendeleo halibagui, hivyo wana wajibu wa kumsikiliza kila mtu badala ya kusukumwa na itikadi za vyama.

Akizungumza katika mikutano yake ya kampeni mkoani Ruvuma jana, Dk. Magufuli alisema uongozi unahitaji uvumilivu na kwamba yeye atakuwa rais wa Watanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani