Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachama LAPF kukopeswa wasome

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (LAPF) umeanzisha huduma mpya ambayo itasaidia wananchama wake wenye mipango ya kupata elimu ya juu kuweza kujipatia mikopo kwa ajili ya kufanikisha adhama hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanachama LAPF kukopeshwa wasome

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (LAPF) umeanzisha huduma mpya ambayo itasaidia wananchama wake wenye mipango ya kupata elimu ya juu kuweza kujipatia mikopo kwa ajili ya kufanikisha adhama hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanachama LAPF kunufaika fao la elimu

WANACHAMA wa mfuko wa Pensheni wa LAPF wanatarajiwa kunufaika na fao jipya la elimu lililozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’, limelenga kuwakopesha wanachama...

 

11 years ago

Dewji Blog

LAPF YAONGEZA WANACHAMA HADI KUFIKIA 20,214

Frank Mvungi-Maelezo

MFUKO wa pensheni wa LAPF umefanikiwa kusajili wanachama 20,214 kufikia mwezi machi 2014 wakati lengo lilikuwa wanachama 15,287 katika kipindi hicho.

Hayo yamesemwa na Meneja wa Kanda ya Mashariki wa mfuko huo Bw. Sayi Lulyalya wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam

Lulyalya amesema ongezeko hilo ni matokeo ya kuwepo kwa utekelezaji wa sera nzuri zenye kuwajali wanachama wa mfuko huo na jaamii kwa ujumla.

Amesema kuwa mfuko huo umepanga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

LAPF na fursa ya uchumi endelevu kwa wanachama

KATIKA nchi zilizoendelea ili upate madaraka ya kuwatumikia watu inabidi uwaeleze ni jinsi gani utawasaidia kuwainua kiuchumi. Baada ya wananchi kuielewa vema mipango yako ya kiuchumi na kuamini inatekelezeka, watakuunga...

 

11 years ago

Michuzi

LAPF YATOA MIKOPO YA ELIMU KWA WANACHAMA WAKE

 Kaimu meneja Masoko wa LAPFBi Rehema Mkamba akitoa maelezo kwa wananchi na wanachama waliotembelea banda la lapf Nane Nane Mjini Dodoma. Afisa matekelezo wa LAPF  Bi Christina Mbaga akitoa maelezo juu ya Mkopo wa Elimu unaotolewa kwa wanachama wa LAPF. Mkopo huu umekuwa kivutio kikubwa kwa wanachama na wasio wanachama.  Afisa Mifumo ya Computer Bi. hilda Kato akifafanua jambo kwa wanachama waliotembelea bandani hapo. Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF walioshiriki katika maonyesho ya Nane...

 

10 years ago

Mwananchi

Fao la ‘Piga Kitabu LAPF’ liwanufaishe wanachama wote

Hivi karibuni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Tamisemi), Hawa Ghasia alizindua fao jipya la ‘Piga Kitabu na LAPF’ linalolenga kuwakopesha fedha wanachama wa mfuko huo wanaotaka kusoma katika vyuo vya elimu ya juu nchini.

 

10 years ago

Michuzi

LAPF YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANACHAMA WAKE

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Tamisemi, Mh. Hawa A. Ghasia, akitoa neno kwa wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya mkopo wa elimu ya juu(‘Piga Kitabu na LAPF’)  Uzinduzi rasmi wa Piga Kitabu na LAPF ulipambwa na shamrashamra za aina yake. Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Waziri Mkuu -Tamisemi, Mh. Hawa A. Ghasia, akimkabidhi mfano wa hundi Bwana Rolland Lyamuya mmoja wa wanachama wa mfuko wa pensheni wa LAPF ambaye amenufaika na huduma mpya ya mkopo wa elimu ya juu(‘Piga...

 

10 years ago

Michuzi

Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 — 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.

“PIGA KITABU NA LAPF”WANACHAMA WA LAPF KUNUFAIKA NA FAO LA ELIMU
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 – 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
15 Septemba 2014, Dodoma: Wanachama wa mfuko wa penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia. 
Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa LAPF mikopo ya elimu ya juu kwani ni ombi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wachezaji wasome vizuri mikataba yao

Taarifa za msanii Diamond Platinumz kuwa kiini cha vurugu katika onyesho lililoshindwa kufanyika baada ya kuchelewa kupanda jukwaani kutumbuiza nchini Ujerumani, zimechafua jina lake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani