WANACHAMA WA SIMBA WAANDAMANA NA KUFUNGA NJIA YA MSIMBAZI WAKITAKA WAMBURA ARUDISHWE KWENYE ORODHA YA WAGOMBEA
Mamia ya wapenzi na washabiki wa klabu kongwe ya mpira wa miguu hapa nchini Simba leo mchana wamejikusanya kwa wingi katika makao makuu ya klabu yao hiyo,kupinga Michael Wambura kuondolewa kwenye orodha ya wagombea kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.Wanachama hao ambao walizunguka jengo hilo na kutaka wapewe sababu za msingi kwanini Wambura ameondolewa huku wakitaka kufanya vurugu lakini vyombo vya usalama waliwahi kufika eneo la tukio na kuweza kuwatuliza wanachama Hao.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog28 May
Wanachama wa Simba waandamana na kufunga njia za Msimbazi wakitaka Wambura arudishwe kwenye orodha ya wagombea
Mashabiki wa Timu ya simba wakijikusanya nje ya jengo la klabu hiyo kongwe kupinga Wambura kuondolewa kwenye uchaguzi unakuja hivi karibuni.
Hapa mashabiki wakizidi kujikusanya kwa wingi mchana huu.
Wanachama wa Simba wakiwa wamelizunguka Jengo la klabu yao mchana huu kupinga kuondolewa kwa wambura kwenye uchaguzi wa klabu hiyo.
Wanachama wa Simba wakipiga kelele nje ya jengo la klabu yao hiyo wakitaka wapewe ufafanuzi wa kina kwanini wambura ametolewa kwenye uchaguzi unaokuja.
Mmoja...
11 years ago
GPLTFF YAPANGUA PINGAMIZI LA WAMBURA, MSIMBAZI YAZIZIMA
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Rufaa ya Wambura yavuta wanachama
KIKAO cha Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kilichokutana jana jijini Dar es Salaam kujadili rufaa ya Michael Wambura, kiliwavuta baadhi ya mashabiki na wanachama wa klabu...
10 years ago
GPLWALEMAVU WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA JIJINI DAR
9 years ago
StarTV23 Sep
Wanachama CWT Nyamagana waandamana
Zaidi ya wanachama 500 wa Chama cha Walimu Tanzania CWT wilayani Nyamagana wameandamana hadi katika ofisi za mkurugenzi wa jiji la Mwanza wakihitaji kupewa majibu sahihi juu ya madai yao ya mishahara, malipo ya likizo, nauli, posho, matibabu pamoja na kupandishwa vyeo.
Kwa mujibu wa walimu hao, madai hayo ni ya muda mrefu, licha ya kupaza sauti zao kupitia Chama cha Walimu nchini CWT lakini hawakupatiwa majibu sahihi juu ya madai hayo.
Nyimbo za kueleza umuhimu wao katika jamii ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOiMYNQcQG3n6y9*hVhrzYK8VGO8xB1WWciLy6N-PlewbQowdqJ0uJwLqyOYTzQw0cdYACAajN7FheIw*-I0kSh4/BREAKING.gif)
WALEMAVU JIJINI DAR WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA ZA KAWAWA NA UHURU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ETTd9*7yfBC2Jw4QeQhDLiuR4uoy6XoQAd78eGsXf5a88G*n7-VM8gMQNyqJZNTuhs7ryBZJfsBse0OQR4empRZstYqDQxRg/IMG20140520WA0027.jpg?width=650)
WALEMAVU WAANDAMANA ENEO LA KARUME, WAZIBA NJIA
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Wambura yametimia Simba
MICHAEL Richard Wambura aliyekuwa anawania nafasi ya uenyekiti katika klabu ya Simba kupitia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Juni 29, jijini Dar es Salaam, amechujwa katika mbio hizo kwa kutokuwa mwanachama....
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Wambura kimeeleweka Simba
MGOMBEA aliyeenguliwa kuwania urais wa Klabu ya Simba katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Juni 29, Michael Wambura, amerejeshwa rasmi katika kinyang’anyiro hicho baada ya kushinda rufaa yake. Wambura, alienguliwa na Kamati...