Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi walemavu waomba kuboreshiwa miundombinu

WANAFUNZI walemavu wa shule ya Msingi Kisosora mkoani hapa, wameiomba serikali kuboresha miundombinu ya mazingira ya shule hiyo iwe rafiki kulingana na uhitaji wao ili waweze kufanya vizuri katika mitihani...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Waomba miundombinu rafiki ya kusomea

SHIRIKA la Wanawake katika Sheria na Maendeleo barani Afrika (WiLDAF) na wadau mbalimbali wanaopinga ukatili wa kijinsia wameiomba serikali kuboresha miundombinu kwa watoto wa shule iwe rafiki ili kupunguza vitendo vya ukatili.

 

9 years ago

Habarileo

Tenisi walemavu waomba msaada

TIMU ya taifa ya tenisi kwa upande wa walemavu, imewataka wadau mbalimbali kuwaunga mkono na kuwasaidia vifaa vya michezo waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walemavu wa ukoma Tanga waomba msaada

KAMBI ya wazee wenye ulemavu wa ukoma iliyopo Msufini Kata ya Ngomeni wilayani hapa, Mkoa wa Tanga inakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa vitanda hali inayosababisha kulala chini. Wakizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHAKIKISHA INAWEKA MIUNDOMBINU MIZURI KWA WALEMAVU.


Na John Gagarini, Kibaha.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini (NEC) imesema kuwa itahakikisha kuwa inaweka miundombinu mizuri kwa watu wenye ulemavu wakati wa uboreshaji wa zoezi la Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakalofanyika hivi karibuni.
Kutokana na umuhimu wa zoezi hilo Tume imejipanga kuhakikisha kila kundi ndani ya jamii ikiwemo ile ya walemavu wanashiriki kikamilifu zoezi hilo ambalo litaambatana na utoaji wa vitambulisho vipya vya wapiga kura vitakavyotumika kwenye wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waomba kituo maalumu cha watoto walemavu Buhangija kusaidiwa zahanati

DSC_0002

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose Nyamubi mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo kabla ya kuelekea kwenye kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo mkoani Shinyanga.

Na mwandishi wetu, Shinyanga

MKUU wa wilaya ya Shinyanga AnneRose Nyamubi...

 

10 years ago

GPL

WAOMBA KITUO MAALUMU CHA WATOTO WALEMAVU BUHANGIJA KUSAIDIWA ZAHANATI‏

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Bi. Anne Rose Nyamubi mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa ajili ya mazungumzo kabla ya kuelekea kwenye kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalum wakiwemo walemavu wa ngozi cha Buhangija Jumuishi kilichopo mkoani Shinyanga. Na mwandishi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Miundombinu inawakimbiza wanafunzi wa utalii

UBOVU wa miundombinu na wataalam katika vyuo vya Utalii nchini, unachangia kuikosesha serikali mapato kutokana na wanafunzi kutoka mataifa mengine kushindwa kuja kusoma wakihofia ubora wa mafunzo unaotolewa. Kauli hiyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Polisi Nigeria:Waomba picha za wanafunzi

Polisi nchini Nigeria wamewataka wazazi wa wanafunzi wasichana waliotekwa kuwasilisha picha zao.

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi 39,000 vyuo vikuu waomba mikopo

IKIWA zimebaki siku 10 kufungwa kwa shughuli ya kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/2015, takribani wanafunzi 39,000 wameshatuma maombi yao kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani