Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi wasipoandamana hawapewi haki zao?

Sasa ni dhahiri kwamba Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu (Tahliso) imepata mwarobaini wa matatizo yake, ikiwa ni pamoja na wanafunzi kulipwa stahili zao na mamlaka husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria wana haki ya kujua wajibu, haki zao

WATUMIAJI wa huduma za usafiri wa nchi kavu na majini, bado hawajatambua haki na wajibu wao wawapo safarini. Hiyo yote inatokana na kutokufahamu wapi wapeleke malalamiko yao. Lakini makala hii...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abiria hawajui haki zao safarini

HIVI karibuni kumeripotiwa ajali nyingi za barabarani zikiwemo zile zilizotokea mkoani Singida na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha. Nilipata msukumo wa kutaka kufahamu ni kwanini matukio ya ajali, hasa za...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake watakiwa kutambua haki zao

WAWANAKE mkoani Iringa wametakiwa kuzitambua haki zao sambamba na sheria za utawala bora ndani ya jamii katika kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha...

 

10 years ago

Tanzania Daima

KPC inayowainua wanawake kutambua haki zao

VITENDO vya ukatili wa kijinsia ni kati ya vita ambavyo vinatakiwa kushikiwa bango na kila mmoja bila kujali ni mwanamke au mwanaume. Tumekuwa tukishuhudia wanawake wengi wakinyanyasika, wakipigwa hadharani na...

 

10 years ago

StarTV

 Wanasheria wawataka wananchi kufahamu haki zao

Wanasheria  jijini Arusha wamewataka  wananchi kufahamu haki zao za msingi ili waweze  kutafuta marekebisho  pale haki zao zinapovunjwa.

Hayo yamebainika katika maadhimisho ya siku ya haki za binadamu barani  Afrika inayofanyika Oktoba  21 kila mwaka.

Wanasheria hao wamesema Idadi kubwa ya raia wanashindwa kupata haki zao  kwa kuwa wengi wao hawafahamu  hatua za kufuata pindi ukiukwaji wa haki za binadamu  unapotokea.

Wakizungumza katika viunga vya mahakama kuu ya Afrika  mawakili,...

 

11 years ago

Habarileo

Wateja wa umeme, maji hawaelewi haki zao

Mwenyekiti wa EWURA CCC, Profesa Jamidu KatimaBARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC) limesema sekta za nishati na maji , zinakabiliwa na changamoto ya watumiaji wa huduma hizo, kutokuwa na uelewa kuhusu haki na wajibu wao, jambo linalotoa mwanya kwa watoa huduma kutowajibika.

 

10 years ago

StarTV

Wakazi Kinondoni sasa kupata haki zao.

Serikali imeunda Kamati ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni ili kusikiliza na kutatua kero na changamoto zinazowakabili wananchi wanapodai haki zao katika mahakama za kikatiba.

Kamati hiyo itakayoshughulikia nidhamu ya mahakama imeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mahakama nambari 4 ya mwaka 2011, sehemu ya 51 mabano moja.

Kamati iliyoundwa itashughulikia malalamiko ya wananchi dhidi ya mahakama ya mwanzo, na inaweza kumsimamisha kazi hakimu kupisha uchunguzi wa malalamiko dhidi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waandishi wahimizwa kuelemisha wanawake juu ya haki zao

DSC00179111

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela.

Na Nathaniel Limu

WAANDISHI wa habari mkoa wa Singida, wamehimizwa kutumia kalamu zao kuwaelimisha wanawake juu ya haki zao mbalimbali ili kupunguza vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa dhidi yao.

Wito huo umetolewa mwishoni mwa wiki na kiongozi wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa Singida Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Eileen Mbwatila wakati akizungumza na waandishi wa habari wanaotathmini utekelezaji wa mradi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani