Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wanahabari andikeni kuhusu mazingira’

MKURUGENZI wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Dk. Julius Ningu, amevitaka vyombo vya habari kutoa kipaumbele katika habari zinazohusu mazingira. Wito huo aliutoa jana jijini Dar es Salaam katika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wanahabari: Andikeni Habari za VVU na UKIMWI zenye kuleta matumaini

DSC_0017

Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya ya Uzazi kwa Vijana  wakati warsha ya siku tatu ya mradi mpya kuhamasisha Vijana kuhusu udhibiti wa Maambukizi mapya ya VVU  iliyofanyika hivi karibu katika kituo cha Habari na Mawasiliano Sengerema, Mwanza chini ya mradi wa SHUGA unaoendeshwa kwa pamoja na mashirika ya Umoja wa Mataifa UNICEF...

 

11 years ago

GPL

WANAHABARI: ANDIKENI HABARI ZA VVU NA UKIMWI ZENYE KULETA MATUMAINI‏

Mshauri na Mkufunzi wa Redio Jamii kutoka UNESCO, Bi. Rose Haji Mwalimu akitoa mada inayohusu mchango wa vyombo vya habari katika kuhamasisha matumizi rafiki ya huduma za kuzuia VVU na Huduma za Afya ya Uzazi kwa Vijana wakati warsha ya siku tatu ya mradi mpya kuhamasisha Vijana kuhusu udhibiti wa Maambukizi mapya ya VVU iliyofanyika hivi karibu katika kituo cha Habari na Mawasiliano Sengerema, Mwanza chini ya mradi wa SHUGA...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI KILIMANJARO WATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MOSHI(MUWSA)


Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa wanahabari kuhusu uchimbaji wa visima kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji katika vyanzo vyake.Mkurugenzi MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonesha wanahabari Moja ya tanki lililopo eneo la CCP ambalo linatumika kuhifadhi maji.Mhandisi Luhemeja akionesha moja ya kisima kilichochimbwa katika eneo la matanki ya kuhifadhi maji ambacho pia kutasaidia kuongeza maji katika matanki hayo kwa ajili ya matumizi. 
Kwa picha zaidi...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAHIMIZWA KUWASILISHA MASUALA YAHUSUYO WATOTO YATIMA NA WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU

SAM_0796Vyombo vya habari nchini vimehimizwa kuwasilisha masuala yanayowahusu watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu. Akizungumza na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali jijini Arusha katika warsha juu ya HAKI ZA WATOTO YATIMA NA WALE WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU iliyoendeshwa na shirika liliso la kiserikali la The Foundation For Tomorrow (TFFT). Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania wa shirika hilo, Bwa. Kennedy Oulu alisema tatizo la watoto yatima na wale waishio katika...

 

5 years ago

Michuzi

WADAU WA MAENDELEO WEKENI MAZINGIRA RAFIKI KWA WANAHABARI KUTEKELEZA MAJUKUMU KIPINDI HICHI CHA CORONA


………………………………………………………….

Na Ahmed Mahmoud Arusha .
Imeelezwa kuwa Waandishi wa habari nchini wapo kwenye kipindi kigumu cha kutekeleza majukumu yao wakati huu wa mapambano ya Ugonjwa wa Covid 19 kiuchumi na wadau wametakiwa kujitokeza kusaidia kada hiyo ili iweze kutoa taarifa sahihi na kweli.

Kwa mujibu wa Mdau wa maendeleo jijini Arusha Mwanasheria Maarufu Albert Msando na mmiliki wa The Don ambaye ametoa Barakoa na vitakasa mikono kwa klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Arusha (APC) ikiwa...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Katibu  wa chama  cha waandishi wa habari  mkoa wa Iringa (IPC) Francis Godwin wa pili  kulia  akiongoza  wanahabari na wananchi wa kata ya Ilala kwenda kufanya usafi wa mazingira   leo  wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Wanahabari  mkoa wa Iringa  wakiadhimisha siku ya uhuru wa  vyombo vya habari kwa kufanya usafi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kibanda awafunda wanahabari kuhusu Katiba

WAANDISHI wa habari wametakiwa kuifahamu rasimu ya pili ya Katiba ili wasiipotoshe jamii wakati wa kupiga kura ya maoni. Kauli hiyo ilitolewa Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa Jukwaa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanahabari wapewa semina kuhusu magonjwa yasiyoambukiza

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa yasiyoambukiza. Kulia ni Meneja Mradi Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (TANCDA).

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kulia), akimuelekeza jambo Ofisa Habari wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,...

 

10 years ago

GPL

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA‏

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa yasiyoambukiza. Kulia ni Meneja Mradi Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (TANCDA. Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kulia), akimuelekeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani