Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanahabari wamkaba Sitta

CHAMA Waandishi wa Habari wa Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya na Uhalifu Tanzania (OJADACT), kimemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katika, Samuel Sitta kufuta mara moja kauli yake...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Kuelekea uchaguzi mkuu, Sitta atoa changamoto wanahabari.

Na Lilian Mtono, 

Dar es Salaam.

 

Waziri wa uchukuzi Samwel Sitta amewataka waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kuhoji mambo mazito na magumu wanayoandika hususan ya kisiasa, yanayomgusa mtu binafsi, ili kulinda dhamana yao kwa taifa na watu wake.

 

Amesema, haitakuwa sawa kuendelea kuandika habari zinazoelemea upande mmoja dhidi ya mtu mwingine, kwa kuwa nyingi zimekuwa na athari kubwa kuanzia ngazi ya familia hadi taifa.

 

Amesema inasikitisha kuona waandishi wa habari wakiandika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI SITTA AZUNGUMZA NA WANAHABARI JUU YA UELEWA WA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Samuel Sitta akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi kabla ya kuanza kwa mkutano na wanahabari,wakati akizungumzia maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani ambayo hufanyika kila ifikapo Machi 23 kila mwaka.Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta akizyngumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Machi 23 ya kila mwaka, yenye kauli mbiu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodaboda wamkaba RC Dar

KAMATI Maalumu ya waendesha pikipiki za miguu miwili (bodaboda) Mkoa wa Dar es Salaam, wamemtaka mkuu wa Mkoa, Saidi Meck Sadiki kusitisha agizo la vyombo hivyo kutoingia katikati ya jiji....

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge wamkaba Waziri tozo za mafuta

Kati ya mambo ambayo Waziri wa Fedha, Saada Mkuya atalazimika kufanya kazi ya ziada kutolea maelezo ni tozo za mafuta, maji na umeme.

 

11 years ago

Mwananchi

Kigamboni wamkaba koo Waziri Tibaijuka

Viongozi wa Mji wa Kigamboni wamemtaka Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuharakisha malipo ya fidia kwa wakazi watakaopisha ujenzi wa mji mpya na kuacha mikutano ya hadhara isiyokuwa na tija.

 

11 years ago

Mwananchi

Watendaji wakuu nchini wamkaba koo Muhongo

Mwenyekiti wa Shirikisho la Watendaji Wakuu wa Makampuni nchini (CEO Roundtable -Tanzania), Ali Mufuruki amesema Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameonyesha kuwa hastahili kuongoza sekta muhimu kama hiyo kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha wazawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani