Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaimba amani, uhuru na haki lakini…

Katikati ya shida au msiba maisha yanasonga mbele. Hawa wanalia, wale wanacheka, maisha yanasonga mbele. Hata katika nchi ambazo demokrasia bado changa maisha ya kisiasa lazima yasonge mbele. Wapinzani wanajua vema falsafa hii kwamba nchi haiwezi kusimama kutokana na kukosekana demokrasia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UHURU, HAKI NA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LEO TAREHE 17.09.2015

SISI, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC, TAKUKURU, Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa)  tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini na watanzania wote kwa ujumla na halina mjadala.Kila mmoja...

 

10 years ago

Mwananchi

Utamaduni wa uhuru na amani ya Tanzania

Maendeleo ni uhuru na uhuru huleta amani. Umaskini ni utumwa na utumwa huleta machafuko pale watumwa wanaposema basi, imetosha. Tunaishi ili kuleta maendeleo, kudumisha amani na kulea utamaduni wa amani kwa kugusa maisha ya wengi katika msingi chanya.

 

9 years ago

Habarileo

SADC yahimiza uchaguzi wa amani, haki

JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), imewataka watanzania kuhakikisha wanafanya uchaguzi kwa kuzingatia misingi ya sheria na haki na kudumisha amani iliyodumu nchini humo kwa miaka mingi.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Maina ‘alilia’ amani na haki

Vyombo vinavyohusika na utoaji wa haki nchini vimeshauriwa kushughulikia matatizo ya wananchi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za maadili ili kuliepusha taifa na uvunjifu wa amani unaoweza kutokea kwa raia kunyimwa haki.

 

9 years ago

StarTV

Watanzania waaswa kulinda amani, umoja, haki

Watanzania wameaswa kuzilinda kwa hali na mali tunu muhimu za Taifa ambazo ni amani, umoja na haki ili kuepuka machafuko na kupita salama katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.

Mpaka sasa viashiria vya uvunjifu wa tunu hizo vinatajwa kuanza kuonekana kutokana na kuwepo kwa sera za uchochezi kwa baadhi ya vyama vya siasa vingine vikiwahimiza vijana kulinda kura siku ya uchaguzi jambo ambalo ni kinyume na maagizo ya Tume ya Uchaguzi nchini NEC.

Ni takribani wiki...

 

11 years ago

Mwananchi

Maendeleo,Haki na Usawa: Nyenzo za usalama, amani EAC

>Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zinakabiliwa na changamoto mbalimbali katika jitihada za kujenga, kulinda na kudumisha za Amani na Usalama.

 

10 years ago

Michuzi

MTANDAO WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAHAMASISHA AMANI KABLA YA UCHAGUZI MKUU


Waandishi wa habari hapa Nchini wametakiwa kuwaelimisha jamii juu ya umuhimu wa amani katika nchi ya Tanzania tunapoelekea uchaguzi mkuu kwa kuandika na kutangaza amani hali itakayosaidia uchaguzi kufanyika kwa amani
Akizungumza katika mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu,uliofanyika jijini Arusha mwisho mwa wiki, ulioandaliwa na mtandao wa utetezi wa haki za binadamu. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoa Arusha Husna Mwilima alisema kuwa...

 

5 years ago

Bongo5

Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini… – Hanscana

Mtayarishaji wa video za muziki nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi pamoja na rapa Darassa, Hanscana, amefunguka kuzungumzia ujio mpya wa rapa huyo ambaye bado anafanya vizuri kupitia hit single yake ‘Muziki’.

Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Hanscana amedai Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu, lakini ameshindwa kutokana ratiba za show za kimataifa kumbana.

“Kusema kweli alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini show za Rwanda na Burundi zimembana sana, amekuwa na tour ndefu sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani