Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utamaduni wa uhuru na amani ya Tanzania

Maendeleo ni uhuru na uhuru huleta amani. Umaskini ni utumwa na utumwa huleta machafuko pale watumwa wanaposema basi, imetosha. Tunaishi ili kuleta maendeleo, kudumisha amani na kulea utamaduni wa amani kwa kugusa maisha ya wengi katika msingi chanya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wanaimba amani, uhuru na haki lakini…

Katikati ya shida au msiba maisha yanasonga mbele. Hawa wanalia, wale wanacheka, maisha yanasonga mbele. Hata katika nchi ambazo demokrasia bado changa maisha ya kisiasa lazima yasonge mbele. Wapinzani wanajua vema falsafa hii kwamba nchi haiwezi kusimama kutokana na kukosekana demokrasia.

 

10 years ago

Michuzi

TUTASHIRIKIANA NA WAPENDA AMANI KUISAIDIA DRC KUWA NA AMANI - TANZANIA

Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa iliyokuwa ikijadili ajenda kuhusu tathmini ya jumla ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kati ya nchi zinazochangia wanajeshi wake katika operesheni hizo za ulinzi wa amani. Sehumu ya wajumbe wa Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, wakifuatilia...

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961

Mkuu wa Mkoa wa Kagera wa sasa Mheshimiwa John V.K. Mongella ukimuaga aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera wa 20  Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe kwa jina maarufu Mulokozi.Tangu uhuru  wa iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania  mwaka 1961 miaka 53 ya uhuru mkoa wa Kagera umekuwa ukiongozwa na viongozi mbalimbali hasa katika nafasi ya  ukuu wa mkoa na kwa kipindi hicho chote hadi sasa tayari mkoa umeongozwa na wakuu wa mikoa wapatao 21 kwa vipndi  tofauti.

Viongozi hao  (Wakuu wa Mkoa)  waliowahi...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAUNGANA NA KAMPUNI YA SARUJI YA DANGOTE KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU NA BAADAE BONANZA LA MICHEZO KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA

Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akiongoza timu ya wafanyakazi wa Mfuko pamoja na wafanyakazi wa Dangote kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Mh Rais John Pombe Magufuli la kuhakikisha watanzania wanafanya usafi katika maeneo yao.Zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya soko la Mbae na Ufukoni mkoni Mtwara likiendelea ikiwa ni katika kuadhimisha miaka 54 ya Uhuru...

 

9 years ago

Michuzi

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UHURU, HAKI NA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LEO TAREHE 17.09.2015

SISI, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC, TAKUKURU, Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa)  tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini na watanzania wote kwa ujumla na halina mjadala.Kila mmoja...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuendelea kushirikiana na wadau katika kuendeleza Utamaduni

pinda

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda (kushoto) akifungua kituo cha utamaduni wa China nchini Tanzania mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mkurugenzi wa Utamaduni toka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko.

pinda 2

Baadhi ya wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina katika kituo cha Utamaduni wa China nchini Tanzania wakiimba nyimbo kwa lugha ya...

 

9 years ago

Michuzi

WACHINA WAONYESHA UTAMADUNI WAO TANZANIA

Na Jacquiline Mrisho Maonesho ya utamaduni wa watu wa China yalifanyika jana usiku maeneo ya Makumbusho ya TaifaJijini Dar es salaam baada ya ufunguzi rasmi wa Kituo cha Utamaduni wa watu wa China uliofanyika mchana. Maonesho hayo yalifunguliwa na Mkurugenzi wa kituo hicho cha Utamaduni wa watu wa ChinaTanzania Bwana GAO Wei ambapo alitumia fursa hiyo kuwakaribisha wageni waalikwakuangalia utamaduni wa wachina kupitia muziki wao. Hafla hiyo ilipambwa na wanamuziki...

 

10 years ago

KwanzaJamii

Sanaa za utamaduni wa Tanzania zaendelea kukubalika

Marehemu George Lilanga Na Gaudensia Mngumi Licha ya kuwapo mawimbi ya utandawazi yanayoyumbisha sanaa za ufundi za tamaduni mbalimbali dunia, Tanzania imeendelea kuwa imara kwani sanaa zenye utamaduni wake zimeendelea kukubalika maeneo mengi duniani. Ndiyo maana michoro na vinyago vya  marehemu George Lilanga na Edward Tinga Tinga vinaonyeshwa katika mataifa mengi duniani. Hata hivyo kazi za wasanii hao zina thamani zaidi ng’ambo hasa Ulaya kuliko nchini. Profesa wa Sanaa kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani