Wanajeshi wa Kenya kusalia Somalia
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekariri kuwa wanajeshi wa Kenya watasalia nchini Somalia, kupambana na wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabaab
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili05 Mar
Uhuru Kenyatta anasema hatua ya wanajeshi wa Somalia kuingia Kenya ni kitendo cha uchokozi
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Wanajeshi 50 wa AU wauawa Somalia
10 years ago
BBCSwahili21 Dec
Somalia yawakataa wanajeshi wa S.Leone
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Wanajeshi watibua shambulizi Somalia
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Alshabaab lawaua wanajeshi 13 Somalia
10 years ago
StarTV22 Dec
Somalia yawakataa wanajeshi wa Sierra Leone
Wanajeshi wa kulinda amani kutoka Sierra Leone wameondoka nchini Somali na hakuna wanajeshi wengine wa taifa hilo watakaochukua mahala pao kufuatia wasiwasi wa ugonjwa wa Ebola.
Umoja wa Afrika una mpango wa kutafuta wanajeshi wengine kutoka mataifa yenye wanajeshi wake nchini humo.
Zaidi ya wanajeshi 800 wa Sierra Leone walio kusini mwa bandari ya Kismayu wameondoka kuelekea nyumbani.
Walitarajiwa kuondoka mapema lakini safari yao ikacheleweshwa kwa zaidi ya miezi sita baada ya mmoja...
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Uganda kutuma wanajeshi zaidi Somalia
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Uingereza kutuma wanajeshi wake Somalia
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
Wanajeshi wa Somalia wauawa kwa Bomu