Wanajeshi watibua shambulizi Somalia
Vikosi vya usalama nchini Somalia vinasema kuwa vimetibua jaribio la mlipuaji wa kujitoa muhanga dhidi ya mkutano wa wanasiasa katikati ya taifa hilo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 May
UN yalaaani shambulizi Somalia
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
UN yanusurika shambulizi Somalia
9 years ago
BBCSwahili22 Aug
9 wauawa kwenye shambulizi Somalia
9 years ago
BBCSwahili02 Sep
Wanajeshi 50 wa AU wauawa Somalia
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Wanajeshi wa Kenya kusalia Somalia
10 years ago
BBCSwahili21 Dec
Somalia yawakataa wanajeshi wa S.Leone
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Alshabaab lawaua wanajeshi 13 Somalia
10 years ago
StarTV22 Dec
Somalia yawakataa wanajeshi wa Sierra Leone
Wanajeshi wa kulinda amani kutoka Sierra Leone wameondoka nchini Somali na hakuna wanajeshi wengine wa taifa hilo watakaochukua mahala pao kufuatia wasiwasi wa ugonjwa wa Ebola.
Umoja wa Afrika una mpango wa kutafuta wanajeshi wengine kutoka mataifa yenye wanajeshi wake nchini humo.
Zaidi ya wanajeshi 800 wa Sierra Leone walio kusini mwa bandari ya Kismayu wameondoka kuelekea nyumbani.
Walitarajiwa kuondoka mapema lakini safari yao ikacheleweshwa kwa zaidi ya miezi sita baada ya mmoja...
11 years ago
BBCSwahili27 Dec
Wanajeshi wa Somalia wauawa kwa Bomu