Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN yalaaani shambulizi Somalia

Umoja wa Mataifa umelaani shambulizi baya sana la kujitoa mhanga ambalo lilitokea eneo la Kati mwa Somalia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

UN yanusurika shambulizi Somalia

Mlipuko mkubwa umetokea katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja wa ndege.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi watibua shambulizi Somalia

Vikosi vya usalama nchini Somalia vinasema kuwa vimetibua jaribio la mlipuaji wa kujitoa muhanga dhidi ya mkutano wa wanasiasa katikati ya taifa hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

9 wauawa kwenye shambulizi Somalia

Shambulizi la kujitoa mhanga kusini mwa Somalia limewaua takriban watu 9 katika kituo kimoja cha kutoa mafunzo ya kijeshi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la Thailand lalaaniwa

Waziri mkuu wa Thailand ametaja shambulizi la bomu ambalo lilitokea mjini Bankok kisa kibaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo

 

10 years ago

BBCSwahili

Walioshuhudia shambulizi la Garissa

Kufuatia shambulizi la chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya baadhi ya wanafunzi waliweza kusema yale walioshuhudia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi laua 45 Nigeria

Wanawake na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi lawaua wanajesi 3 wa Saudia

Saudi Arabia inasema kuwa maafisa 3 wa kijeshi wa taifa hilo wameuawa na kombora lililofyatuliwa na waasi wa Houthi nchini Yemen

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la kujitoa mhanga laua 15

Watu 15 wameuawa baada ya mshambulizi wa kujitolea mhanga kulipua bomu Maiduguri

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi Garissa:Serikali yajitetea

Serikali ya Kenya imeitetea idara yake ya usalama kufuatia shutma kwamba ilichelewa kukabiliana na shambulio la chuo cha Garissa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani