Shambulizi la Thailand lalaaniwa
Waziri mkuu wa Thailand ametaja shambulizi la bomu ambalo lilitokea mjini Bankok kisa kibaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 May
Wakimbizi taabani Thailand
Maelfu ya wakimbizi kutoka Bangladeshi na Myanmar wametelekezwa karibu na ufuo wa Thailand kufuatia masharti makali yaliyowekwa
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Thailand yakataza mimba za biashara
Sheria inayowakataza wapenzi wawili wa kigeni wanaotaka kushika mimba kupitia mtu mwengine imeanza kutekelezwa nchini Thailand.
11 years ago
BBCSwahili20 May
Sheria ya kijeshi yatangazwa Thailand
Jeshi la Thailand limetangaza sheria za kijeshi katika juhudi za kurejesha utulivu wakati nchi hiyo imekumbwa na mzozo wa kisiasa.
10 years ago
BBCSwahili19 Aug
Picha ya mshambuliaji yatolewa Thailand
Polisi nchini Thailand wametoa picha ya mwanamme mmoja ambaye anahusishwa na mlipuko ambao uliukumba mjini wa Bangkok
11 years ago
BBCSwahili22 May
Jeshi lafanya mapinduzi Thailand
Mkuu wa majeshi nchini Thailand ametangaza mapinduzi , akisema jeshi sasa linachukua udhibiti wa serikali.
11 years ago
BBCSwahili23 May
Jeshi Thailand lamuhifadhi Bi Shinawatra
Jeshi nchini Thailand linamshikilia waziri mkuu Bi Yingluck Shinawatra baada ya kumpindua mamlakani hapo jana.
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Zaidi ya watu 20 wameuawa Thailand
Mojawepo ya sehemu takatifu na maarufu zaidi katika mji mkuu wa Thailand, Bangkok imelipuliwa na mlipuko mkubwa
10 years ago
BBCSwahili07 May
Thailand kufunga kambi za walanguzi
Waziri mkuu wa Thailand Prayut Chan-o-cha, ameamrisha kuondolewa kwa kambi zinazotumiwa kwa ulanguzi katika kipindi cha chini ya siku kumi.
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
Wanaume watatu waoana Thailand
Wanaume watatu waliofunga ndoa siku ya wapendanao {Valentine} nchini Thailand wamepata umaarufu katika mtandao
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania