Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shambulizi la kujitoa mhanga laua 15

Watu 15 wameuawa baada ya mshambulizi wa kujitolea mhanga kulipua bomu Maiduguri

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la kujitoa mhanga Nigeria

Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari moja limelipuka mjini Maiduguri Kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuna hofu ya watu wengi kujeruhiwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake wa kujitoa mhanga washambulia Maiduguri

Wanawake kadha wa kujitoa mhanga wametekeleza mashambulio ya mabomu katika mji wa Maiduguri, Nigeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuaji wa kujitoa mhanga awaua 4 Saudia

Watu wanne wameuwawa baada mlipuaji wa kujitolea mhanga kujilipua nje ya msikiti mmoja wa waislamu washia nchini Saudi Arabia.

 

10 years ago

Vijimambo

MLIPUKO WA BOMO LA KUJITOA MHANGA JIJINI KABUL WAUWA WATU WATATU NA KUJERUHI 20

Watu wapatao watatu wamekufa kufuatia shambulio la bomu la kujitoa muhanga karibu na eneo la kuingilia uwanja wa ndege wa Kimataifa Jijini Kabul nchini Afghanistan.Shambulio hilo limefanywa karibu na eneo linalotumiwa kuegesha magari ya wanajeshi, na pia lililenga gari la mafunzo ya polisi la vikosi vya Ulaya.
Mtu mmoja aliyekuwa ndani ya gari alikufa pamoja na watoto wawili wa kike wa Afghan, ambapo pia watu wapatao 20 wamejeruhiwa. Kundi la Taliban limekiri kufanya shambulio hio.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi laua 45 Nigeria

Wanawake na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria

 

9 years ago

GPL

SHAMBULIZI LAUA 15 MJINI MOGADISHU

Gari likiwaka moto baada ya utekelezwaji wa shambulio hilo. Utawala nchini Somalia unasema kuwa takriban watu 15wameuawa wakati wanamgambo waliposhambulia hoteli moja mjini Mogadishu. Muonekano wa Hoteli hiyo baada ya shambulizi. Hoteli hiyo ambayo iko kwenye moja ya mitaa yenye shughuli nyingi mjini humo mara nyingi hutumiwa na wabunge na maafisa wa serikali, Kundi la kiislamu la al Shabaab limekili kutekeleza… ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Shambulizi laua 8 mjini Mogadishu

Utawala nchini Somalia unasema kuwa takriban watu 8 wameuwa walati wanamgambo waliposhambulia hoteli moja mjini Mogadishu

 

11 years ago

Habarileo

Shambulizi la kigaidi laua sita Kenya

WATU sita wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California, mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi. Kamanda wa Polisi mjini Nairobi, Benson Kibue alisema kuwa milipuko miwili ilitokea wakati magaidi waliporusha mabomu katika migahawa miwili midogo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi sokoni Gaza laua watu 15

Shambulizi la majeshi ya Israeli kwenye soko moja huko Gaza limewaua watu 15.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani