SHAMBULIZI LAUA 15 MJINI MOGADISHU
![](http://api.ning.com:80/files/LZfMsRt8tpkUXZYH98F0X9teiG4uZlQGJzg6xsquEieJidJhfIXoLSkWJnCrh1XfKiFeQq1K*9Ji6hRc4y3vginCIdiUSnQZ/151101063421_sp_somalia_atack_al_shabab_624x351_epa.jpg?width=650)
Gari likiwaka moto baada ya utekelezwaji wa shambulio hilo. Utawala nchini Somalia unasema kuwa takriban watu 15wameuawa wakati wanamgambo waliposhambulia hoteli moja mjini Mogadishu. Muonekano wa Hoteli hiyo baada ya shambulizi. Hoteli hiyo ambayo iko kwenye moja ya mitaa yenye shughuli nyingi mjini humo mara nyingi hutumiwa na wabunge na maafisa wa serikali, Kundi la kiislamu la al Shabaab limekili kutekeleza… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili01 Nov
Shambulizi laua 8 mjini Mogadishu
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Shambulizi laua 45 Nigeria
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Shambulizi la kujitoa mhanga laua 15
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Shambulizi sokoni Gaza laua watu 15
11 years ago
Habarileo02 Apr
Shambulizi la kigaidi laua sita Kenya
WATU sita wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California, mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi. Kamanda wa Polisi mjini Nairobi, Benson Kibue alisema kuwa milipuko miwili ilitokea wakati magaidi waliporusha mabomu katika migahawa miwili midogo.
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Hali mjini Mandera baada ya shambulizi
11 years ago
BBCSwahili15 Mar
Al Shabaab washambulia Mogadishu
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Mwandishi wa habari auwawa Mogadishu
10 years ago
BBCSwahili31 Aug
Ofisi ya usalama yashambuliwa Mogadishu