Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shambulizi la kigaidi laua sita Kenya

WATU sita wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California, mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi. Kamanda wa Polisi mjini Nairobi, Benson Kibue alisema kuwa milipuko miwili ilitokea wakati magaidi waliporusha mabomu katika migahawa miwili midogo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la kigaidi lawaua 6 Kenya

Watu 6 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi katika mtaa wa Eastleigh,mjini Nairobi.

 

10 years ago

GPL

SHAMBULIO LA KIGAIDI LAUA 2 NA KUJERUHI 30 KENYA

WATU wawili wamepoteza maisha huku takribani 30 wakijeruhiwa baada ya watu wapatao watano wanaodaiwa kufunika nyuso zao kushambulia Chuo Kikuu cha Garrissa kilichopo Kaskazini mashariki mwa Kenya. Shambulio hilo linadaiwa kufanyika mapema leo wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika sala yao ya alfajiri. Watu walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa kuna majeruhi wengi ndani ya chuo hicho. Wapiganaji hao wanadaiwa kuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio la kigaidi laua nchini Kenya

Watu wenye silaha wameshambulia mji wa Wajir kaskazini mwa Kenya na kuua mtu mooja na wengine wanne wamejeruhiwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Kumbukumbu la Shambulizi la kigaidi London

Raia wa Uingereza leo wameadhimisha mia kumi tangu shambulio la kigaidi katika kituo kimoja cha treni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda yatibua shambulizi la kigaidi

Uganda imeimarisha usalama katika maeneo mengi ya uma katika mji mkuu wa kampala kufuatia kutibuliwa kwa shambulizi la kigaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la Kigaidi Mali limezimwa

Maafisa wa Usalama wa Mali wamevamia hoteli iliyokuwa imetekwa na wapiganaji na kuwaokoa raia wa kigeni

 

9 years ago

BBCSwahili

Polisi: Shambulizi la kisu London ni la 'kigaidi'

Idara ya polisi nchini Uingereza inasema kuwa inalichukulia kisa cha udungaji kisu katika kituo cha gari moshi jijini London, kama tendo la kigaidi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi laua 45 Nigeria

Wanawake na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la kujitoa mhanga laua 15

Watu 15 wameuawa baada ya mshambulizi wa kujitolea mhanga kulipua bomu Maiduguri

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani