Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shambulizi la kigaidi lawaua 6 Kenya

Watu 6 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi katika mtaa wa Eastleigh,mjini Nairobi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Shambulizi la kigaidi laua sita Kenya

WATU sita wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California, mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi. Kamanda wa Polisi mjini Nairobi, Benson Kibue alisema kuwa milipuko miwili ilitokea wakati magaidi waliporusha mabomu katika migahawa miwili midogo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi lawaua watu 4 Burundi

Polisi nchini Burundi wanasema kuwa watu wanne wameuawa na wengine karibu 30 kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya guruneti Jumapili usiku.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi lawaua wanajesi 3 wa Saudia

Saudi Arabia inasema kuwa maafisa 3 wa kijeshi wa taifa hilo wameuawa na kombora lililofyatuliwa na waasi wa Houthi nchini Yemen

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la Israel lawaua watu 10

Ripoti za hivi karibuni zinaarifu kuwa shambulizi la angani la Israel limewauwa watu kumi katika shule moja ya umoja wa mataifa

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulizi la muungano lawaua 50 Syria

Ripoti kutoka Syria zinasema kuwa zaidi ya raia 50 wameuawa kwenye shambulizi la angani lililoendeshwa na muungano wa Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulizi lawaua watoto 6 Libya

Watoto sita wamefariki na wengine wengi kujeruhiwa nchini Libya baada ya shule yao mjini Benghazi kushambuliwa kwa guruneti.

 

10 years ago

StarTV

Shambulizi la Guruneti lawaua watu 4 Burundi


Burundi

Polisi nchini Burundi wanasema kuwa watu wanne wameuawa na wengine karibu 30 kujeruhiwa kwenye mashambulizi ya guruneti Jumapili usiku.

Mashambulizi hayo yalifanyika katika miji mitatu ukiwemo mji mkuu Bujumbura.

Polisi wanasema kuwa guruneti hizo zilirushwa na wafuasi wa upinzani ambao wanataka kuvuruga uchaguzi mkuu unaokuja.

Siku ya ijumaa watu 11 walijeruhiwa kwenye misururu ya mashambulizi ya guruneti.

Burundi imekumbwa na ghasia zilizoendeshwa na wapinzani wa rais Nkurunziza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kumbukumbu la Shambulizi la kigaidi London

Raia wa Uingereza leo wameadhimisha mia kumi tangu shambulio la kigaidi katika kituo kimoja cha treni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda yatibua shambulizi la kigaidi

Uganda imeimarisha usalama katika maeneo mengi ya uma katika mji mkuu wa kampala kufuatia kutibuliwa kwa shambulizi la kigaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani