Uganda yatibua shambulizi la kigaidi
Uganda imeimarisha usalama katika maeneo mengi ya uma katika mji mkuu wa kampala kufuatia kutibuliwa kwa shambulizi la kigaidi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Tunisia yatibua shambulio la kigaidi
Mamlaka nchini Tunisia imesema kuwa imewakamata wapiganaji 16 na kutibua shambulio ambalo huenda lingekuwa kubwa kuwahi kutokea mwezi huu.
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Shambulizi la kigaidi lawaua 6 Kenya
Watu 6 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi katika mtaa wa Eastleigh,mjini Nairobi.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Kumbukumbu la Shambulizi la kigaidi London
Raia wa Uingereza leo wameadhimisha mia kumi tangu shambulio la kigaidi katika kituo kimoja cha treni.
10 years ago
BBCSwahili08 Aug
Shambulizi la Kigaidi Mali limezimwa
Maafisa wa Usalama wa Mali wamevamia hoteli iliyokuwa imetekwa na wapiganaji na kuwaokoa raia wa kigeni
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Polisi: Shambulizi la kisu London ni la 'kigaidi'
Idara ya polisi nchini Uingereza inasema kuwa inalichukulia kisa cha udungaji kisu katika kituo cha gari moshi jijini London, kama tendo la kigaidi.
11 years ago
Habarileo02 Apr
Shambulizi la kigaidi laua sita Kenya
WATU sita wameuawa na wengine 25 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kigaidi katika eneo la California, mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi. Kamanda wa Polisi mjini Nairobi, Benson Kibue alisema kuwa milipuko miwili ilitokea wakati magaidi waliporusha mabomu katika migahawa miwili midogo.
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Israel yatibua njama ya Hamas
Serikali ya Israel inasema kuwa maafisa wake wa usalama, wamegundua kuwa kundi la Hamas katika ukingo wa Magharibi lilikuwa linapanga kufanya mashambulizi kadhaa mjini Jerusalm.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Mapinduzi yatibua ratiba ligi
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepangua ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili kuziwezesha timu nne kushiriki Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza kesho kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Kodi ya matandao yatibua maandamano
Maandamano dhidi ya matumizi ya Mtandao Hungary na Google kujiunga na kampeini dhidi ya Saratani katika makala ya wiki hii ya Teknolojia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania