Kodi ya matandao yatibua maandamano
Maandamano dhidi ya matumizi ya Mtandao Hungary na Google kujiunga na kampeini dhidi ya Saratani katika makala ya wiki hii ya Teknolojia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
KAMANDA KOVA APIGA ‘STOP’ MAANDAMANO YA UVCCM ILALA,MAANDAMANO YA BAVICHA YAACHWA KIPORO.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam imezuia maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya Ilala (UVCCM) ya kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa chama hicho pamoja na kuacha kiporo maandamano ya Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ,Kamishina wa Jeshi la Polisi ,Suleiman Kova ,amesema kuzuia kwa maandamano...
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Zesco yatibua sherehe Simba
Mabao matatu yaliyofungwa na Jackson Mwanza, Clatons Chama na Winston Kalenga, yamesababisha siku ya Simba ‘Simba Day’ kuwa chungu baada ya Zesco kuizamisha miamba hiyo kwa mabao 3-0.
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Israel yatibua njama ya Hamas
Serikali ya Israel inasema kuwa maafisa wake wa usalama, wamegundua kuwa kundi la Hamas katika ukingo wa Magharibi lilikuwa linapanga kufanya mashambulizi kadhaa mjini Jerusalm.
10 years ago
Mwananchi31 Dec
Mapinduzi yatibua ratiba ligi
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limepangua ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ili kuziwezesha timu nne kushiriki Kombe la Mapinduzi linalotarajiwa kuanza kesho kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
FBI yatibua njama ya mashambulizi US
Shirika la ujasusi la Marekani FBI huko Ohio limemkamata mwanamume mmoja kwa kupanga njama ya kufanya shambulizi katika eneo la Capitaol ambako mako ya baraza la Congres yapo, mjini Washington
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
Tunisia yatibua shambulio la kigaidi
Mamlaka nchini Tunisia imesema kuwa imewakamata wapiganaji 16 na kutibua shambulio ambalo huenda lingekuwa kubwa kuwahi kutokea mwezi huu.
11 years ago
BBCSwahili14 Sep
Uganda yatibua shambulizi la kigaidi
Uganda imeimarisha usalama katika maeneo mengi ya uma katika mji mkuu wa kampala kufuatia kutibuliwa kwa shambulizi la kigaidi.
11 years ago
BBCSwahili19 Aug
Korea kusini yatibua hali ya hewa
Baadhi yao wamedai watu weusi wanaposimamisha TAXI hazisimami kutokana na hofu ya virusi hivyo vya Ebola
11 years ago
GPL
POMBE YATIBUA FUTARI KWA DIAMOND
Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja
NIkama jina la wimbo wake mpya wa Mdogo Mdogo ambao ndani yake kuna kikorombwezo ‘mwendawazimu kaingiaje’, ndiyo hali iliyotokea kwenye futari ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipofuturisha nyumbani kwake ambapo pombe zilitibua shughuli nzima. Wema akifungua shampeini. Pamoja na kufuturisha, pia Diamond alimwandalia pati mama yake mzazi,...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania