POMBE YATIBUA FUTARI KWA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ02GNnlAZ-b04-kDIpE5*tfNlgjvx63WivWLSIjEvgeagLqDSWTi84uf6XHKQ49yFt5F30ThMb9NifrKHQTNmwg/dimond.jpg)
Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja NIkama jina la wimbo wake mpya wa Mdogo Mdogo ambao ndani yake kuna kikorombwezo ‘mwendawazimu kaingiaje’, ndiyo hali iliyotokea kwenye futari ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alipofuturisha nyumbani kwake ambapo pombe zilitibua shughuli nzima. Wema akifungua shampeini. Pamoja na kufuturisha, pia Diamond alimwandalia pati mama yake mzazi,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZahK2JNbKSupkc0FWo3wkfM2L6bbTMI7d*pNhMYPK3WDJ1eeQAQ7tPQm*MfRuWTXwKkkQ9DRF72EfZYc36rRi9oEm9V6hm48/dimond.jpg?width=650)
BIRTHDAY YA DIAMOND POMBE, MADEMU USIPIME!
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NxAN4TbIITk/U8aNzhDx-aI/AAAAAAAF2zQ/EPMODuCOl1Q/s72-c/MMGN8022.jpg)
RAIS WA TFF AANDAA FUTARI KWA WADAU
![](http://2.bp.blogspot.com/-NxAN4TbIITk/U8aNzhDx-aI/AAAAAAAF2zQ/EPMODuCOl1Q/s1600/MMGN8022.jpg)
Shughuli hiyo itafanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Dar es Salaam ambapo waalikwa wataanza kuwasili saa 11.30 jioni.
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
10 years ago
VijimamboFUTARI NYUMBANI KWA BALOZI MWINYI NEW YORK
Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akimkaribisha nyumbani kwake mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York Bwn. Hajji Kassim siku ya Jumapili June 21, 2015 siku Balozi Mwnyi alipofutarisha baadhi ya Watanzania waliopata mwaliko toka kwake na baadae Mhe. Mwinyi kuelezea futari ile itaendelea kufanyika nyumbani kwake kwa mwezi huu wa mfungo wa Ramadhan na atazidi kutoa mwaliko kwa Watanzania wa jimboni mwake kujumuika nae kwenye futari...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-JtAjU20_bas/U9CpM5wiz7I/AAAAAAAF5Xk/yb8PW7LeZrg/s72-c/b1.jpg)
RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA WANANCHI WA BAGAMOYO
![](http://3.bp.blogspot.com/-JtAjU20_bas/U9CpM5wiz7I/AAAAAAAF5Xk/yb8PW7LeZrg/s1600/b1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pT0nzt4LVa8/U9CpOZSJqoI/AAAAAAAF5X4/VUUHTIbsbzQ/s1600/b2.jpg)
11 years ago
Michuzi03 Jul
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
5 years ago
MichuziRC MAKONDA ATOA SHEHENA YA FUTARI KWA MAKUNDI YA WATU WASIOJIWEZA.
Katika Shehena hiyo aliyotoa RC Makonda kila Mwananchi amepata vifurushi vyenye Mchele Kilo 5, Unga kilo 5, Sukari, kiroba cha Maharage na Mafuta ya kupikia.
Msaada huo wa...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YTihLkMqT4s/U8aOgD46ueI/AAAAAAAF2zg/PVqSMz7sxeU/s72-c/download+(1).jpg)
RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AANDAA FUTARI KWA WADAU
![](http://2.bp.blogspot.com/-YTihLkMqT4s/U8aOgD46ueI/AAAAAAAF2zg/PVqSMz7sxeU/s1600/download+(1).jpg)
Waalikwa katika futari hiyo wametoka katika makundi mbalimbali. Makundi hayo ni wadhamini, klabu za Ligi Kuu na Daraja la Kwanza za Dar es Salaam ambazo zitawakilishwa na watu wawili wawili.
Viongozi wa zamani wa TFF, Said El...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9_Yp-0iaPaQ/U7--RiGq0LI/AAAAAAAA6Wg/HCnwL8_W73A/s72-c/0.1airtel+mwanza4.jpg)
AIRTEL YATOA FUTARI KWA WATOTO YATIMA MKOANI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-9_Yp-0iaPaQ/U7--RiGq0LI/AAAAAAAA6Wg/HCnwL8_W73A/s1600/0.1airtel+mwanza4.jpg)