Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUTARI NYUMBANI KWA BALOZI MWINYI NEW YORK


Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akimkaribisha nyumbani kwake mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York Bwn. Hajji Kassim siku ya Jumapili June 21, 2015 siku Balozi Mwnyi alipofutarisha baadhi ya Watanzania waliopata mwaliko toka kwake na baadae Mhe. Mwinyi kuelezea futari ile itaendelea kufanyika nyumbani kwake kwa mwezi huu wa mfungo wa Ramadhan na atazidi kutoa mwaliko kwa Watanzania wa jimboni mwake kujumuika nae kwenye futari...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FUTARI NYUMBANI KWA MHE, BALOZI RAMADHANI MUOMBWA MWINYI NEW ROCHELLE. NY


Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa New York, Mhe.Balozi Ramadhani Mwinyi pamoja na mama mwenye nyumba wake wakiwa na tabasamu la bashasha baada ya Iftar nyumbani kwao New Rochelle. NY. Mama mwenye nyumba wa balozi pamoja na mume wake waliwakaribisha Watanzania wa jumuiya ya New York nyumbani kwao na kufuturu nao pamoja.
Akina mama wa jumuiya ya Watanzania wa New York wakijiandalia chakula.
Akina mama walikuja na familia zao kama unavyoona kwenye ukodak huu wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Iran amtembelea Mzee Mwinyi nyumbani kwake

OTH_4912

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam Disemba 14, 2015.

OTH_4897

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari,...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA IRAN NCHINI AMTEMBELEA MZEE MWINYI NYUMBANI KWAKE

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha ya maalum kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam leo Desemba 14, 2015. Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi...

 

9 years ago

Mtanzania

Kortini kwa kuingia nyumbani kwa Mzee Mwinyi

mwinyi1bcNA MANENO SELANYIKA, DAR ES SALAAM

MKAZI wa Ilala Mtaa wa Lindi, Hafidhi Ally (23), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kuvamia kisha kuingia nyumbani kwa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi.

Mbele ya Hakimu Ester Kihiyo, karani wa mahakama hiyo, Mosses Mchome, alidai kwamba mtuhumiwa alifanya kosa hilo Desemba 10, mwaka huu saa 7:30 usiku nyumbani kwa Mzee Mwinyi,  Mikocheni B, Dar es Salaam.

Karani Mchome aliiambia mahakama hiyo kwamba, Hafidhi...

 

10 years ago

Vijimambo

IFTAR NYUMBANI KWA MWENYEKITI WA TAWI LA CCM NEW YORK

  Iftar nyumbani kwa mwenyekiti wa tawi la CCM New York Bwana Seif Akida Bronx Ny.


 

9 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAJITOKEZA NYUMBANI KWA NY EBRA BROOKLYN. NEW YORK KUMPA POLE KWA KUFIWA NA DADA YAKE HUKO TANZANIA


Jumuiya ya Watanzania New York New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inasikitika kuungana na Ebra Nyagaly wa Vijimambo New York kutangaza msiba wa dada yake Mpenzi Asha Nyagaly kilichotokea Dar es Salaam, Tanzania. Dada amekutwa na mauti nyumbani baada ya kuzidiwa  ghafla akitokea hospitali alipokwenda kupata matibabuKwa sasa unaweza kumpigia simu Ebra NY na kumpa pole simu 347 475 4313
Msiba utakuwa nyumbani kwaEbra702 E 37th St,Brooklyn, NY
Mwenye Enzi Mungu amsameh Marehemu makosa yake na...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA SWALA YA EID UL'HAJJ WAISLAM NEW YORK MNAKARIBISHWA NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN





BAADA YA SWALA YA EID UL’HAJJ BILAL ANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE WA NEW YORK NYUMBANI KWAKE BROOKLYN KWA AJILI YA KIFUNGUA KINYWA NA CHAKULA. UKISOMA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZIO KUANZIA ASUBUHI NA KUENDELELEA. ADDRESS NI 341 LOGAN ST APT F2. BROOKLYN.NY 11208KWA WALE WAPENDA BIRIYANI BILAL NDIYO DR WA MAPICHI HAYO HAPA AKIFANYA VITU VYAKE.

 

10 years ago

Vijimambo

PATA TASWIRA CHAI YA EID AL FITR NYUMBANI KWA TAHIR BILAL BROOKLYN NEW YORK

 Akina baba wakijiandalia kifungua kinywa baada ya sala ya Eid Al fitr nyumbani kwa Bilal Brooklyn,  Bilal aliwakaribisha Watanzania wa New York kufika kwake na kujipatia kifungua kichwa hicho pamoja na familia yake.
Meza ilipendeza kwa chakula cha Kitanzania chenye asiri  na nakish nakish ya visiwa vya karafuu. Akina mama nao wakijiandanilia maanjumanti kwa ajili ya kifungua kinywa.Mama mwenye nyumba wa Bilal akiwaongoza akina mama kujiandalia chakula.
 Mdhamini wa pendo wa Tahil Bilal, Mama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana anywa chai nyumbani kwa balozi wa shina, ala msosi kwa mama lishe Iringa

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata mlo nyumbani kwa Balozi Lucas Mtumbuka (kushoto)wa Shina namba moja eneo la Mkimbizi, alipokwenda kumtembelea yeye na wananchama wake wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Jimbo la Iringa Mjini.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Kinana akichukua mhogo ambao ni sehemu ya vyakula alivyoandaliwa na balozi.

 Watoto wakipanda kwenye uzio wa nyumba ili wapate...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani