MLIPUKO WA BOMO LA KUJITOA MHANGA JIJINI KABUL WAUWA WATU WATATU NA KUJERUHI 20
![](http://4.bp.blogspot.com/-w9gSqciqehQ/VVh-kUzpLpI/AAAAAAAA9e4/QB6hksMXsAc/s72-c/Ka.jpg)
Watu wapatao watatu wamekufa kufuatia shambulio la bomu la kujitoa muhanga karibu na eneo la kuingilia uwanja wa ndege wa Kimataifa Jijini Kabul nchini Afghanistan.
Shambulio hilo limefanywa karibu na eneo linalotumiwa kuegesha magari ya wanajeshi, na pia lililenga gari la mafunzo ya polisi la vikosi vya Ulaya.
Mtu mmoja aliyekuwa ndani ya gari alikufa pamoja na watoto wawili wa kike wa Afghan, ambapo pia watu wapatao 20 wamejeruhiwa. Kundi la Taliban limekiri kufanya shambulio hio.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0gGC4ZQuxjM6uYhvG1OJd*3IaROWHnpKaNZ5y0pFepqhKbIw2PA-Sq7*UMbeRSfUtVUZ-4AMNfxSqXzyLFiuN9--1Wi39Mpr/2.jpg)
MLIPUKO WA BOMU WAUA WATATU KABUL
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hiOw4xekqhlIrBRUE8*MuBk4A0QnNF50no9cjH1HXl3ilHcd2yLVQZWvcEm8wHc7c*YkxVYWc*a-s81TTeLq5fXxPPodqpZ2/1.jpg)
TASWIRA ZA MLIPUKO ULIOUA WATU 6 NA KUJERUHI 74 NEW YORK
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Shambulizi la kujitoa mhanga Nigeria
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Shambulizi la kujitoa mhanga laua 15
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Ajali ya malori yaua watu wawili, kujeruhi wengine watatu Bagamoyo
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Wanawake wa kujitoa mhanga washambulia Maiduguri
10 years ago
BBCSwahili29 May
Mlipuaji wa kujitoa mhanga awaua 4 Saudia
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Mlipuko wawaua watu wanne jijini Nairobi
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Mlipuko waua 21 na kujeruhi 50 Nigeria