Wanawake wa kujitoa mhanga washambulia Maiduguri
Wanawake kadha wa kujitoa mhanga wametekeleza mashambulio ya mabomu katika mji wa Maiduguri, Nigeria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Shambulizi la kujitoa mhanga Nigeria
Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari moja limelipuka mjini Maiduguri Kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuna hofu ya watu wengi kujeruhiwa.
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Shambulizi la kujitoa mhanga laua 15
Watu 15 wameuawa baada ya mshambulizi wa kujitolea mhanga kulipua bomu Maiduguri
10 years ago
BBCSwahili29 May
Mlipuaji wa kujitoa mhanga awaua 4 Saudia
Watu wanne wameuwawa baada mlipuaji wa kujitolea mhanga kujilipua nje ya msikiti mmoja wa waislamu washia nchini Saudi Arabia.
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Boko Haram washambulia nje ya Maiduguri
Boko Haram washambulia kijiji nje ya Maiduguru ambako Rais Goodluck atarajiwa kwenda kufanya kampeni
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-w9gSqciqehQ/VVh-kUzpLpI/AAAAAAAA9e4/QB6hksMXsAc/s72-c/Ka.jpg)
MLIPUKO WA BOMO LA KUJITOA MHANGA JIJINI KABUL WAUWA WATU WATATU NA KUJERUHI 20
![](http://4.bp.blogspot.com/-w9gSqciqehQ/VVh-kUzpLpI/AAAAAAAA9e4/QB6hksMXsAc/s640/Ka.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-2gVC9staojs/VVh-lbFSLQI/AAAAAAAA9e8/mPSI4IBYKmU/s640/Ka1.jpg)
Mtu mmoja aliyekuwa ndani ya gari alikufa pamoja na watoto wawili wa kike wa Afghan, ambapo pia watu wapatao 20 wamejeruhiwa. Kundi la Taliban limekiri kufanya shambulio hio.
10 years ago
BBCSwahili28 Jun
Wanawake 2 wajitoa mhanga Nigeria
Wanawake wawili washambuliaji wa kujitoa mhanga wamewaua watu watatu kwenye shambulizi katika mji wa Maiduguri nchini Nigeria.
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/O-q70EuDvck/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Ajitoa mhanga na kuwaua 12 Somalia
Mlipuaji wa kujitoa mhanga amejilipua na kuwaua watu 12 katika msafara wa majeshi ya Muungano wa Afrika mjini Mogadishu.
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Mashambulio Maiduguri yauwa watu 40
Mashambulio ya kujitolea mhanga yatikisa mji wa Maiduguri kaskazini-mashariki mwa Nigeria na kuuwa wengi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania