Wanajeshi wa UN wawaua waandamanaji 3
Ripoti kutoka Mali zinasema kuwa walinda amani wa umoja wa mataifa wamewafyatulia risasi waandamanaji na kuwaua watu watatu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Jan
Wanajeshi wawaua waasi waliojisalimisha
Wakaazi nchini Burundi wameiambia BBC kwamba walishuhudia wanajeshi wa serikali wakiwaua waasi waliojisalimisha.
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Mlipuko wa bomu wawaua 30 Yemen
Mlipuko mmoja umetokea katika gari nje ya chuo cha mafunzo ya Polisi katika mji mkuu wa Yemen-Sanaa.
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Mlipuko wawaua watu 47 Nigeria
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa kumetokea mlipuko mkubwa katika soko moja kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno ambapo watu 47 wamefariki huku wengine 55 wakijeruhiwa katika mji wa sabon gari.
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Mkanyagano hatari wawaua 11 Zimbabwe
Watu 11 wamefariki katika mkanyagano nchini Zimbabwe baada ya maombi yaliyoongozwa na muhibiri Walter Magaya katika uwanja wa soka.
9 years ago
BBCSwahili13 Sep
Walipuaji wawaua watu 7 Cameroon
Takriban watu saba wameuawa na walipuaji wa kujitolea muhanga kaskazini mwa Cameroon.
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Ugonjwa wa tauni wawaua 40 Madagascar
Mlipuko wa ugonjwa wa tauni nchini Madagascar umewaua watu 40 na kuwaathiri takriban wengine 80
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Mlipuko wawaua watu 11 Baghdad
Mashambulizi ya mabomu yamewaua takriban watu 11 katika wilaya zenye washia wengi kwenye mji mkuu wa Iraq Baghdad.
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Mlipuko wawaua watu 12 Mogadishu
Mlipuaji wa kujitolea muhanga ameligongesha gari lake na lile la kijeshi katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu na kusababisha mlipuko mkubwa.
11 years ago
BBCSwahili15 Jan
Mlipuko wawaua 17 Maiduguri,Nigeria
Watu 17 wameuawa mwenye mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari mjini Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania