Wanajeshi washika doria mjini Bangkok
Maelfu ya polisi pamoja na wanajeshi wamepelekwa katika mji mkuu wa Thailand Bangkok kwa jaribio la kuangamiza maandamano.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 May
Wanajeshi washika doria Bujumbura
11 years ago
BBCSwahili14 Jun
Wanajeshi wa Iraq waimarisha doria
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Wanajeshi Afrika kusini kuanza Doria
9 years ago
MichuziMAONESHO YA VITO NA USONARA MJINI BANGKOK THAILAND
11 years ago
BBCSwahili17 Jan
Waandamanaji washambuliwa Bangkok
10 years ago
Habarileo18 Sep
Polisi wa doria wapigwa bomu
SIKU chache baada ya majambazi kuvamia Kituo Kikuu cha Polisi wilayani Bukombe mkoani Geita, kuua askari wawili na kuiba silaha za moto, watu wasiofahamika wamewajeruhi askari watatu waliokuwa doria kwa kuwarushia kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu.
11 years ago
Habarileo06 Mar
Doria za uvuvi haramu kuendelea
DORIA za maeneo ya hifadhi ya uvuvi, Unguja na Pemba kwa kiasi kikubwa zimepunguza uvuvi haramu uliokuwa ukifanywa na wavuvi wasiokuwa waaminifu. Mkuu wa Doria wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Haji Shomari alisema doria hizo zinazowashirikisha wavuvi kutoka katika kamati za uvuvi za shehia zimefanikiwa kudhibiti uvuvi haramu kwa asilimia kubwa.
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Mshukiwa wa ugaidi ashtakiwa Bangkok
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Waandamanaji wafunga barabara Bangkok